Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

Mimi ni muajiriwa niko maeneo ya kijijini
Nina kahela nmesave sh mil 7 nataka nizungushe kanipatie faida
Biashara gani itanifaa maana huku nilipo mzunguko wa hela ni mdogo.
Napata wakati mgumu
Kama ni Kijijini na kuna mzunguko wa watu fungua :
  • Wakala huduma za kifedha .
  • Duka la mahitaji ya nyumbani ( unaweza ongeza nguo, sandal etc).
  • Duka la dawa.
  • Duka la spea za pikipiki.
  • Mini Hardware .
 
Kama ni Kijijini na kuna mzunguko wa watu fungua :
  • Wakala huduma za kifedha .
  • Duka la mahitaji ya nyumbani ( unaweza ongeza nguo, sandal etc).
  • Duka la dawa.
  • Duka la spea za pikipiki.
  • Mini Hardware

Shukran sana kuna vitu nmevutiwa ntafanyia kazi
 
Back
Top Bottom