Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

Mimi ni muajiriwa niko maeneo ya kijijini
Nina kahela nmesave sh mil 7 nataka nizungushe kanipatie faida
Biashara gani itanifaa maana huku nilipo mzunguko wa hela ni mdogo.
Napata wakati mgumu
Kama ni unataka uzungushe wewe binafsi inabidi uangalie biashara kutokana na mazingira uliyopo, kwa kijijini biashara ya mazao inaweza kuwa vizuri, unaenda mjini unatafuta tenda ya mazao maofisi yapo unakuwa supplier wao, kama unaweza kutusupply mazao karibu.

Kampuni yetu inadeal na kununua wanyama na kuuza nyama, kufuga ng’ombe wa maziwa na kuuza maziwa, tunaexport nyama. Tunanunua mazao (mahindi, maharage, mchele).

name of company: DAN’G GROUP CO.LTD
website: www.danggroup.ltd
Adress Dodoma.
 
Ushauri wangu namba Moja don't usiweke Hela yote kwenye biashara.

Don't keep all eggs in one bucket.

Ushauri namba mbili kwakuwa huna muda ni heri ukawekeza tu somewhere hata kama utapata faida kidogo lakini pesa Yako unaiona Ile pale huku ukiendelea kuwekeza zaidi

Nimeongea hivi kwa sababu ya mazingira ya kijijini unayoishi.

Utt amis
Fixed account
Bonds
Renting business (vyumba na nyumba za kupanga)

Biashara zinataka muda wa mwenye biashara na mazingira yenye mzunguko mkubwa wa biashara.

Otherwise utaichoma hio Hela in no minute.
 
Ushauri wangu namba Moja don't usiweke Hela yote kwenye biashara.

Don't keep all eggs in one bucket.

Ushauri namba mbili kwakua huna muda ni heri ukawekeza tu somewhere hata kama utapata faida kidogo lakini pesa Yako unaiona Ile pale huku ukiendelea kuwekeza zaidi

Nimeongea hivi kwa sababu ya mazingira ya kijijini unayoishi.

Utt amis
Fixed account
Bonds
Renting business (vyumba na nyumba za kupanga)

Biashara zinataka muda wa mwenye biashara na mazingira yenye mzunguko mkubwa wa biashara.

Otherwise utaichoma hio Hela in no minute.
Asanteee sana mkuu ntalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom