Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

Link haifunguki mkuu...!
 
ok ni PM binti yangu
Kama hutojali naomba tuonane kwa ajili ya kujadiliana ni vip tutakuwa partner ktk biashara ya madawa mi sina mtaji ila nina mtu toka Turkey anataka kuekeza ktk madawa na biashara nyingine ila alinihitaj mimi nianze kwa chochote ila nimekwama kutokana na hali ya kimaisha kuwa mbaya
Shukran sana kuna vitu nmevutiwa ntafanyia kazi
 
ETI 'nina mtu toka Turkey anataka kuekeza ktk madawa na biashara nyingine ila alinihitaj mimi nianze kwa chochote ila nimekwama'

FANGASI WEWE
 
Kachukue meza kkoo (biashara ndogo),

Tafuta issue za kufunga gas kwenye magari. Iko top sana saiv ka indorse hiyo hela. Piga kazi.
Soma kwanza kisha upate kuelewa ,amekambia muajiliwa yupo kijijin
 
Soma kwanza kisha upate kuelewa ,amekambia muajiliwa yupo kijijin
Sasa kijijini atafungua biashara ya m7 ..
Wewe nae. Watu wapo UK wanamashamba bongo. Tena worth hundreds of milions.
 

Unamdanganya

Yaani yeye akae kijijini amuache mtu mezani kariakoo?

Nipo nimekaa pale…..
 
Mimi ni mwajiriwa niko maeneo ya Kijijini

Nina kahela nmesave sh milioni 7 nataka nizungushe kanipatie faida

Biashara gani itanifaa maana huku nilipo mzunguko wa hela ni mdogo.

Napata wakati mgumu
Endelea kusave site hakujatulia sabbau vijana sio waaminifu,ukiwa tayari wekeza kwenye small apartment za kupangisha mtu mmoja mmoja ,usiwe na haraka.
 
Mimi ni mwajiriwa niko maeneo ya Kijijini

Nina kahela nmesave sh milioni 7 nataka nizungushe kanipatie faida

Biashara gani itanifaa maana huku nilipo mzunguko wa hela ni mdogo.

Napata wakati mgumu
Upo kijiji gani mwl, tuanzie hapo tukupe ushauri uanze na mtaji wa 1m kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…