Nina mtangaza rasmi kua Rich Woman ....

mbona mnaniweka njia isiyo pitika hatimae nikose potee lah! nilianzaga kwa Lara 1, Ciello akaingia kati then Baba V akatengua ndoa eti sio harali, hapa nikampata Suprise wangu kidogo Shenazi akaingilia kati aaah! Basi bwana mie naludi zangu C.C.B

juzi alikuwa Suprise leo huyu
 
Last edited by a moderator:
mbona mnaniweka njia isiyo pitika hatimae nikose potee lah! nilianzaga kwa Lara 1, Ciello akaingia kati then Baba V akatengua ndoa eti sio harali, hapa nikampata Suprise wangu kidogo Shenazi akaingilia kati aaah! Basi bwana mie naludi zangu C.C.B

duuh kumbe kawaida yako, ningeuliza mie wakongwe jamani
 
Asante sana measkron tunategemea hekima na busara zenu kama muongozo kwenye maisha yetu.

Hilo shaka ondoa kabisa, kikubwa ni kujua kwamba unapooa unatakiwa kuacha kuishi kama hujaoa vile.... ikiwa na maana kuacha kula magengeni, vijiwe na washkaji hadi usiku wa manane.... Mkeo na familia yako kwanza! wengine baadae
 
Asante sana mama kwa ushauri wako.
Hilo shaka ondoa kabisa, kikubwa ni kujua kwamba unapooa unatakiwa kuacha kuishi kama hujaoa vile.... ikiwa na maana kuacha kula magengeni, vijiwe na washkaji hadi usiku wa manane.... Mkeo na familia yako kwanza! wengine baadae
 
Mpenzi kila nikuonapo maneno "I love you a lot" huchipuka moyoni na kukijaza changu kinywa...nami sasa nayatuma kwako...kiss kiss!!!

Yes darling, am here daddy dearest, love you more!!
 
mbona mnaniweka njia isiyo pitika hatimae nikose potee lah! nilianzaga kwa Lara 1, Ciello akaingia kati then Baba V akatengua ndoa eti sio harali, hapa nikampata Suprise wangu kidogo Shenazi akaingilia kati aaah! Basi bwana mie naludi zangu C.C.B

rudi C.C.B. Huna bahati ya mke
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…