JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Kwani hilo darasa la jana lilikuwa linasemaje??
Unanivuruga ujue .........
yani maombi yahitajika maana shuguli ipo naona kama kampeni za Donn kukurudisha C.C.B zinashika kasi sana loh sina raha mie Tonykpanasema nkuache wewe ni monster jamani niko njia panda mimi kweli haya mambo yana matatizo si mchezo ndo maana watu wanakunywa sumu ila sitakunywa Mungu anisaidie lililo lake litasimama daima hata wanadamu wakipinga
haya bana umechagua penye neema inapendeza.
Huyu jamaa si monster kama Tonykp anavyo sema.... Ila tu ni mwanachama muaminifu wa C.C.B japokuwa tu ni mtu wa ______ Rich woman Na ww karibu C.C.B lakini
Huyu jamaa si monster kama Tonykp anavyo sema.... Ila tu ni mwanachama muaminifu wa C.C.B japokuwa tu ni mtu wa ______ Rich woman Na ww karibu C.C.B lakini
__mapenzi ya dhati .... 😛eace:
100% umepata. Hapa ndio nimemuacha sasa ivi akapumzike, tulikua tumejumuika pamoja tunapa chakula cha jioni hapa Chup Bhong
Thenki yuu ticha!Mi nimemaliza bana... No more classes... :A S 100:
Safi sana Donn
Endelea tu kufundisha mie nitakuja kucopy notes.Class time.... Uu wapi Kipipi ?
Endelea tu kufundisha mie nitakuja kucopy notes.