Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #101
Ameen..
Naamini nafata muongozo ipasavyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameen..
Leta mkuu, unitag kbsaa.Mkuu naamini naamini
Mkuu kuna mambo yanafanyika mpaka nashangaa..
Mwanazoni nilikua najua kama bahati tuu ila sasa nimeona ni kitu serious...
IMANI ni kitu kingine kabisa mkuu.
Kuna jambo huwa natamani ku share ila naona kama hi code ikijulikana na watu wengi basi ile survive for fittest itakua applied...
Maana inawezekana wkatokea watu kama 200 wakatumia hi kitu then what happn ni compitation..
Au katika hayo mambo hakuna iyo.ishu mkuu..
Nataka ni share kitu hapa kuhusu MUDA mkuu japp nilisema sitokuja kusema maana ridhiki yangu yote kwa sasa ime depend on that...
Kwa sasa situmii nguvu baada ya kujua kitu kuhusu MUDA
Nina passion hiyo katika entertainment( producer nawezaAmeen..
Naamini nafata muongozo ipasavyo
Mkuu hivi ujue hapa bongo mpaka sasa ishu ya VFX bado sana an hiyo green effect ni kipengele..Nina passion hiyo katika entertainment( producer naweza
Director naweza)
Tatizo sasa linakuja ukichek wenzetu wazungu hasa katika utumiaji wa GREEN SCREEN, then sisi bado tuna hangaika na mambo ya locations, naona moto, ukizingatia bajeti.
Mkuu nataka kuleta mapinduzi katika soko la film tuu...Utuletee filamu zenye maana sio haya maigizo yetu ya chumbani sebuleni.
Filamu zinazochambua mada ngumu.
Mkuu idea zipo nyingi..Filamu za Kibongo.
Chumbani, Beach, Supermarket ndio location zake sijui huyu Poor Brain ana idea gani mpya ?
Maafrica utayaweza mkuu? ndio yalivyo, hayaamini katika universe, hayaamini katika passion.Mkuu hivi ujue hapa bongo mpaka sasa ishu ya VFX bado sana an hiyo green effect ni kipengele..
Hata huko vyuoni wanavyofundisha ni tofauti kabisa ila naimani kama ikipatikana capital na wakakusanywa watalamu wakaweka team kubwa tunaweza change bongo film industry..
Angalia Nigeria wanavyokimbiza mkuu...
Nigeria wapo moto mno an mpaka unasema hawa watu wanashare na big campany au..
Ila unakuta ni wao wenyewe...
Ila nimesikia ishu ya idris elba kuja kufungua studio Zanzibar sijui itakuwa kweli naona hii itafanikisha kwa kiasi kikubwa ukuaji wa sanaa na tasnia nzima...
Tatizo lingine la bongo ni kukatishana tamaa mapema sana.
Nakumbuka niliwahi kutana na watu wa media flan hvi kubwa hapa bongo daah niliwambia ndoto yangu ila walinicheka sana tena sana aiseeee mpka na mimi nikawa nacheka ...
Sawa ulete kitu cha maana sasa😆Mkuu nataka kuleta mapinduzi katika soko la film tuu...
Hii weka akilini kuna siku upo sebuleni na shemeji unachek kazi zangu
Daaah wewe ebu uje huku tujadili kazi yangu ambayo itakua na manufaa kwa huyo mwanaoUroda wa usiku unanifanya nachoka mnoo besti
Sawa madamu...Jina mara zote zinatoa image yako, badili jina utafanikiwa, I assure you.
Just imagine tungekuwa na uwezo wa kuigiza filam ya MV Bukoba😂,.Mkuu nataka kuleta mapinduzi katika soko la film tuu...
Hii weka akilini kuna siku upo sebuleni na shemeji unachek kazi zangu
Daaah mkuu wale watu walinicheka sana alafu sio kwamba wametoboa hvo ila ni vile dharau tuu na kukatisha wenzao tamaaMaafrica utayaweza mkuu? ndio yalivyo, hayaamini katika universe, hayaamini katika passion.
Naleta kazi inshaallah we sbr tuu kuna kitu nafanya hapa kikitiki mkuu naamini taleta mabadilikoSawa ulete kitu cha maana sasa😆
Mkuu umeona kunamv bukoba..Just imagine tungekuwa na uwezo wa kuigiza filam ya MV Bukoba😂,.
Anza kutengeneza short films, weka youtube tuoneNaleta kazi inshaallah we sbr tuu kuna kitu nafanya hapa kikitiki mkuu naamini taleta mabadiliko
Safi sana mkuu..Anza kutengeneza short films, weka youtube tuone
Ndo practice hiyo
Jiunge na film festivals ukutane na watu mbalimbali
Tunaweza tukakutana nina mpango wa kuwa mdau wa documentaries
Mkuu ni swala la mda..Movie ambazo utazidirect zikiwa na quality kama ya movie za Kanumba zile za "Game 1st quality"... movie zako tutazitazama na utakuwa umefanikiwa kuifufua tasnia ya film bongo.