Nina ndoto za kuja kuwa Director mkubwa Afrika Mashariki na Kati

Mkuu fanya utukutanishe tuu mda ukifika...
Maana bila team work hiki kitu hatuwezi fanikisha mkuu..

Mkuu napambana sana sana sana
Mkuu naanza ku shoot maharusi hvo hvo na kufanya editing najua kuna siku moja takua kama kina timamu na zaidi ya hao
Usijali mdogo wangu, kuwa na subira kidogo maana nina mikiki mikiki nakimbizana nayo. Ikitulia tutafanya jambo
 
Daaah sawa sawa kaka...
Ngoja niwe na subira maana kwa sasa nimeamulia kuvalia njuga hili swala
 
Ngoja nijaribu madam tuone...
Maana daah naona haya mambo yana work kweli wewe si wa kwanza kusemq hivi ujue
Hamna kitu kama icho labda kwa bongo.
Mtu anaitwa 50 cent ila ana mamillion, SnoopDog ila sio mbwa na ana mafanikio

Ni ishu ya kuwa hard working, determination na mwenye positive mindset. Usi ruhusu jina liku define personality yako. Mbona mtu aliitwa pombe magfuli na akawa raisi kwani alikuwa chspombe .
Unaweza kuwa na jina baya ila mimset yako ni ya upambanaji
Ni wewe tu na mindset yako iko wapi kupambania dreams zako ziwe tru.
 
Daaaah mkuu maaana kila anaegusa uzi yeye anatazama jina anakuja ku comment et nibadili jina..

Mi nimewaza sana how jina lika reflect tena jina ambalo natumia mtandaoni then huku mtaani hakuna hata mtu ana niita hvi
 
Hizi Believe za ukiitwa/ kujiita jina flani lina limit ufikie malengo yako au utimize ndoto zko. Hua sikubaliani nazo.

Waatu wanaitwa pombe, msaga sumu, wasanii wanajiita mbuzi ila wana career nzuri tu

Labda waje na hoja zao n mifano nitawaelewa
 
Jina
Daaaah mkuu maaana kila anaegusa uzi yeye anatazama jina anakuja ku comment et nibadili jina..

Mi nimewaza sana how jina lika reflect tena jina ambalo natumia mtandaoni then huku mtaani hakuna hata mtu ana niita hvi
Jina hata Kama umepewa na wazazi haliwezi kuzuia kutoboa
 
Hamna kitu kama icho labda kwa bongo.
Mtu anaitwa 50 cent ila ana mamillion, SnoopDog ila sio mbwa na ana mafanikio

Ni ishu ya kuwa hard working, determination na mwenye positive mindset. Usi ruhusu jina liku define personality yako. Mbona mtu aliitwa pombe magfuli na akawa raisi kwani alikuwa chspombe .
Unaweza kuwa na jina baya ila mimset yako ni ya upambanaji
Ni wewe tu na mindset yako iko wapi kupambania dreams zako ziwe tru.
Hilo jambo lipo sana na si bongo tu. Na hata kama ni Bongo tu kwani mhusika anatokea wapi na harakati zake za mafanikio ataanzia wapi? Si hapa hapa!? Anyway Poor Brain nisikuharibie uzi na kukutoa relini kwa ubishani ambao utakuja Kuthibitisha siku. You do you. Una malengo mazuri sana
 
Naitaji maoni yako huku
 
Back
Top Bottom