Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Kuchonga njia sio kitoto Roberto .Maninaaaaa step 1 lazima jasho la ...... Likutoke mkuu oooh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchonga njia sio kitoto Roberto .Maninaaaaa step 1 lazima jasho la ...... Likutoke mkuu oooh
Kaka mi ntaruka tuuu 😂😂😂😂Kuchonga njia sio kitoto Roberto .
Ukishasema "Uta" tayari kuna Shido... 😆😆Kaka mi ntaruka tuuu 😂😂😂😂
Usijali mdogo wangu, kuwa na subira kidogo maana nina mikiki mikiki nakimbizana nayo. Ikitulia tutafanya jamboMkuu fanya utukutanishe tuu mda ukifika...
Maana bila team work hiki kitu hatuwezi fanikisha mkuu..
Mkuu napambana sana sana sana
Mkuu naanza ku shoot maharusi hvo hvo na kufanya editing najua kuna siku moja takua kama kina timamu na zaidi ya hao
Daaah sawa sawa kaka...Usijali mdogo wangu, kuwa na subira kidogo maana nina mikiki mikiki nakimbizana nayo. Ikitulia tutafanya jambo
Movies mkuu..Direct? Director?kama ni Director wa Movie?au Music?au Company?au?
Name does not matter....
Ngoja nijaribu madam tuone...Trust me it does. Fanya utafiti juu ya matamshi utaelewa na maybe utabadili jina
Hamna kitu kama icho labda kwa bongo.Ngoja nijaribu madam tuone...
Maana daah naona haya mambo yana work kweli wewe si wa kwanza kusemq hivi ujue
Huu mwanzo ni hatari kwenye angle yoyote hapo.
Sahihi mkuu .Huu mzwanzo ni hatari kwenye angle yoyote hapo.
Daaaah mkuu maaana kila anaegusa uzi yeye anatazama jina anakuja ku comment et nibadili jina..Hamna kitu kama icho labda kwa bongo.
Mtu anaitwa 50 cent ila ana mamillion, SnoopDog ila sio mbwa na ana mafanikio
Ni ishu ya kuwa hard working, determination na mwenye positive mindset. Usi ruhusu jina liku define personality yako. Mbona mtu aliitwa pombe magfuli na akawa raisi kwani alikuwa chspombe .
Unaweza kuwa na jina baya ila mimset yako ni ya upambanaji
Ni wewe tu na mindset yako iko wapi kupambania dreams zako ziwe tru.
Hizi Believe za ukiitwa/ kujiita jina flani lina limit ufikie malengo yako au utimize ndoto zko. Hua sikubaliani nazo.Daaaah mkuu maaana kila anaegusa uzi yeye anatazama jina anakuja ku comment et nibadili jina..
Mi nimewaza sana how jina lika reflect tena jina ambalo natumia mtandaoni then huku mtaani hakuna hata mtu ana niita hvi
Jina hata Kama umepewa na wazazi haliwezi kuzuia kutoboaDaaaah mkuu maaana kila anaegusa uzi yeye anatazama jina anakuja ku comment et nibadili jina..
Mi nimewaza sana how jina lika reflect tena jina ambalo natumia mtandaoni then huku mtaani hakuna hata mtu ana niita hvi
Hilo jambo lipo sana na si bongo tu. Na hata kama ni Bongo tu kwani mhusika anatokea wapi na harakati zake za mafanikio ataanzia wapi? Si hapa hapa!? Anyway Poor Brain nisikuharibie uzi na kukutoa relini kwa ubishani ambao utakuja Kuthibitisha siku. You do you. Una malengo mazuri sanaHamna kitu kama icho labda kwa bongo.
Mtu anaitwa 50 cent ila ana mamillion, SnoopDog ila sio mbwa na ana mafanikio
Ni ishu ya kuwa hard working, determination na mwenye positive mindset. Usi ruhusu jina liku define personality yako. Mbona mtu aliitwa pombe magfuli na akawa raisi kwani alikuwa chspombe .
Unaweza kuwa na jina baya ila mimset yako ni ya upambanaji
Ni wewe tu na mindset yako iko wapi kupambania dreams zako ziwe tru.
Naitaji maoni yako hukuHilo jambo lipo sana na si bongo tu. Na hata kama ni Bongo tu kwani mhusika anatokea wapi na harakati zake za mafanikio ataanzia wapi? Si hapa hapa!? Anyway Poor Brain nisikuharibie uzi na kukutoa relini kwa ubishani ambao utakuja Kuthibitisha siku. You do you. Una malengo mazuri sana