Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Ila unandoto kama zangu,uwa kunaswali linaniumaga sana,kwanini raia wengi ni maskini sana? Yaani kwangu ni kipaumbele ni Barabara za Lami Kila Kata kuunganisha,kilimo kufungua masoko ya kilimo ndani na njee....marufuku kujenga nyumba ya tembe,nyasi wote bati la sivyo uende Burundi.Sitatoka madarakani mpaka miaaka 20 Ili kutekeleza miradi yangu kitaifa.
 
Kuwa na viwanda tu hakutoshi kukufanya wewe uwe tajiri, naomba utuambie utazalisha nn na soko lako litakuwa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…