Nina nyumba uswahilini inatengeneza Tsh. 40,000/- kwa mwezi, niendelee au napoteza muda?

Fanya hivi;
1. Weka kitanda na godoro zuri kwenye hicho chumba cha ndani na cha nje. Hapo sitting room weka kochi la kishkaji hata la mbao.
2. Nunua carton 2 za tissue, tenki la maji, mataulo na mabox ya kinga.
3. Ifanye sehemu ya watu kuja kukata viuno. Uswahilini wazinzi ni wengi sana. Mweke demu au kijana mmoja hapo akukusanyie pesa za wazinzi wa showtime.
 
Kwa nini unakiita nyumba? Hicho kibanda hakina sifa ya kuitwa nyumba!
 
Kula milion mibili mda huu nije kukiona mm
 
Tumia hivyo vyumba kulima uyoga wa kwenye ndoo.

Wasiliana na SUA wakupe ujuzi.
.
vitakuingizia pesa nyingi sana mpaka utaniombea dua. Siyo chini ya million 2 kila mwezi ukishapata ujuzi.
 
Tumia hivyo vyumba kulima uyoga wa kwenye ndoo.

Wasiliana na SUA wakupe ujuzi.
.
vitakuingizia pesa nyingi sana mpaka utaniombea dua. Siyo chini ya million 2 kila mwezi ukishapata ujuzi.

mkuu ebu tupe maelekezo
 
Nyumba hiyo iko sehemu gani nikuludishie chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…