Nina safari ya Dar kwenda Kigoma. Madereva nipeni uzoefu!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Wakuu.
Ijumaa nina iyo safari kutoka Dar kwenda Moro, ambako nitafanya kazi flani kama masaa 6-8 katika ofisi ya serikali kwahiyo lazima uwe muda wa kazi, then nitatakiwa kwenda Kigoma, by jumatatu niwepo hapo kuna issue, then back Dar.
IMG_6029.jpeg

Google Maps ananiambia nina kilometa 2,500 kwenda nakurudi.

Niliwaza nitoke Dar asubuhi sana. Moro nifike by saa 4, nifanye hiyo kazi, kisha same day niamshe mida ya saa 12 jioni, nikalale Tabora jumamosi. Hafu kesho yake jumapili nitoke Tabora hadi Kigoma.

Mwenye uzoefu zaidi, vipi barabara ina changamoto? Kuna mahala pa vumbi au mkeka mwanzo mwisho?
 
View attachment 3471778

Tabora kigoma ni kama 7hrs
 
Utatumia gari gani?
Kigoma Kwa magari haya ya baby walker lazima ubebe na dawa za maumivu ila kama upo SUV utaenjoy sana
Tupo na option tatu.

X5, Fit na Crown. X5 tatizo spana mkononi shughuli inaweza kuishia Moro. Crown mchawi wese tunaweza overspend. Fit ndio best option ila comfortability ndio mchawi. Nitakua na jibu jumanne.

Naenda na bebe nae ni dereva mzuri tu. Tunataka tuwe na vituo vya kulala viwili hivi ila kurudi hatuna haraka tunaweza lala ata kila mkoa (Tabora, Dom ata Moro).
 
Mmmmhmn
 
Kama hakuna ulazima usiende na private mkuu.... kuendeesha dsm kigoma kwenda na kurudi sio poa...hata kama utalala njiani...

Labda kwenye gari muwepo kama watatu wote madereva ....

Khs gari nenda na hio Crown...japo linakula wese kama jini
 
Hapo ndio mchawi. Ulazima ni mkubwa kiasi kwasababu ya nature ya kazi na vitu tunavyobeba. Unanitisha mkuu.

Huu mwaka longest trip nimeenda ni Dar - Njombe moja na Dar Songea kupitia Lindi moja.
 
Haha 2028 naenda na BYD uko. Kuchaji Dodoma na Tabora.
Hapo ungekuwa na mkebe wa BYD Qin L unyama sana chuma inatembea 2400km non stop

Chuma ni PHEV unapiga zako single charge na full tank ukiwa Dar

Unaenda Kigoma na kurudi Dar, unakuja kuichaji au kuongeza mkojo wa Mwarabu hapo Moro, unachange gear Dar 1 hr
​
 
Back
Top Bottom