Nina safari ya Dar kwenda Kigoma. Madereva nipeni uzoefu!

Nina safari ya Dar kwenda Kigoma. Madereva nipeni uzoefu!

Hapo ndio mchawi. Ulazima ni mkubwa kiasi kwasababu ya nature ya kazi na vitu tunavyobeba. Unanitisha mkuu.

Huu mwaka longest trip nimeenda ni Dar - Njombe moja na Dar Songea kupitia Lindi moja.
Umbali mrefu sana... mm sidhani kama niliwah endesha zaidi ya 400kms....

Nishaendesha dsm dom kama mara 4 hivi... nilishaennda dsm moshi..tulikua wawili tukapokezana ..... !

Mwaka juzi dsm mwanza .... tulikuwa watatu ila mm sikuendesha kabisa... hao wawili walipokezana ...kwa kifupi sio mzoefu wa long route
 
Tupo na option tatu.

X5, Fit na Crown. X5 tatizo spana mkononi shughuli inaweza kuishia Moro. Crown mchawi wese tunaweza overspend. Fit ndio best option ila comfortability ndio mchawi. Nitakua na jibu jumanne.

Naenda na bebe nae ni dereva mzuri tu. Tunataka tuwe na vituo vya kulala viwili hivi ila kurudi hatuna haraka tunaweza lala ata kila mkoa (Tabora, Dom ata Moro).
Safari kama hiyo crown ndio mahala pake. X5 ni kweli kabisa lazima likukute jambo.
Honda fit hiyo ni vits iliyochangamka 😅
 
Hapo ndio mchawi. Ulazima ni mkubwa kiasi kwasababu ya nature ya kazi na vitu tunavyobeba. Unanitisha mkuu.

Huu mwaka longest trip nimeenda ni Dar - Njombe moja na Dar Songea kupitia Lindi moja.
Asikutishe, Hakuna maajabu yoyote kwenda na private kigoma.
Ondoka mapema, mtaenda kulala tabora.
Asubuhi unanyoosha mpaka kigoma, barabara nzuri na haina magari. Vumbi utakutana nalo ukitoka malagarasi kuitafuta uvinza
 
Tupo na option tatu.

X5, Fit na Crown. X5 tatizo spana mkononi shughuli inaweza kuishia Moro. Crown mchawi wese tunaweza overspend. Fit ndio best option ila comfortability ndio mchawi. Nitakua na jibu jumanne.

Naenda na bebe nae ni dereva mzuri tu. Tunataka tuwe na vituo vya kulala viwili hivi ila kurudi hatuna haraka tunaweza lala ata kila mkoa (Tabora, Dom ata Moro).
Honda fit inafaa Sana kama utakuwa na vituo vya kupumzika tena utafurahia safari kwasababu unakuwa hauna presha ya kufika mapema...
Kila la kheri mkuu
 
Shukrani mkuu. Nitakua na speed ndogo nadhani ata 100 uwa sivuki.
Kuna sehemu hutatembea hiyo speed sababu hakuna magari alafu barabara nzuri na mpya. Kipande cha manyoni mpaka tabora barabara ni mpya na nzuri, hapo speed yoyoye unalaza.
Then kutoka urambo,kaliua, usinge hadi nguruka barabara ni mpya kabisa na hakuna magari, unalaza speed unayotaka
 
Honda fit inafaa Sana kama utakuwa na vituo vya kupumzika tena utafurahia safari kwasababu unakuwa hauna presha ya kufika mapema...
Kila la kheri mkuu
Habari.
Any technical reason kwanini Fit inahitaji kupumzika vituo vingi?

Mfano nitoke na IST Dar to Mwanza, nikapumzika Dodoma labda na Nzega, kuna tatizo?
 
Hapo ungekuwa na mkebe wa BYD Qin L unyama sana chuma inatembea 2400km non stop

Chuma ni PHEV unapiga zako single charge na full tank ukiwa Dar

Unaenda Kigoma na kurudi Dar, unakuja kuichaji au kuongeza mkojo wa Mwarabu hapo Moro, unachange gear Dar 1 hr
​
Na bado njiani chuma inajiendesha me nimechill.
 
Kuna kipande cha vumbi kimebaki kutoka malagarasi kwenda uvinza. Ni Kama km 50 tu.
Kwa hivyo from dar to malagarasi ni lami tu, alafu vumbi kidogo then lami mpaka kigoma
Ila vumbi haina “makorogesheni” sana ?
 
Umbali mrefu sana... mm sidhani kama niliwah endesha zaidi ya 400kms....

Nishaendesha dsm dom kama mara 4 hivi... nilishaennda dsm moshi..tulikua wawili tukapokezana ..... !

Mwaka juzi dsm mwanza .... tulikuwa watatu ila mm sikuendesha kabisa... hao wawili walipokezana ...kwa kifupi sio mzoefu wa long route
Nitajitahidi kubreal mara nyingi as possible. Safari ndefu inachosha sana.
 
Kwakua utakua na kazi moro, nenda kalale dodoma, kisha amsha alfajiri (ukiweza saa 10 alfajiri) mwendo wa kawaida 100- 110, unafika kigoma mapema tu
 
Kwakua utakua na kazi moro, nenda kalale dodoma, kisha amsha alfajiri (ukiweza saa 10 alfajiri) mwendo wa kawaida 100- 110, unafika kigoma mapema tu
Nitajaribu hii mkuu. Moro nitajitahidi kuwahi afu nipige mishe chap.
 
Back
Top Bottom