babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Sawa kama kweli, ila uombe usikutane na hao majambalika.Hayo mambo sehemu nyingi yalikuwaga zamani, lakini kwa sasa hiyo njia watu wanapita 24/7
Sawa kama kweli, ila uombe usikutane na hao majambalika.Hayo mambo sehemu nyingi yalikuwaga zamani, lakini kwa sasa hiyo njia watu wanapita 24/7
dah😊Saw baba nasubili unipe lift😂
😀😀😀 Nimefurahi ume smile 😀Kwa Yesu! enzo ake
Na sisi twende mwisho wa reli kigomadah😊
Mama si unajua kudrive laknNa sisi twende mwisho wa reli kigoma
Ukipita ya Tabora Kuna kipande cha vumbi baada ya kupita Kaliua. But kwingineko ni mkeka tu. Ila safari ndefu.Wakuu.
Ijumaa nina iyo safari kutoka Dar kwenda Moro, ambako nitafanya kazi flani kama masaa 6-8 katika ofisi ya serikali kwahiyo lazima uwe muda wa kazi, then nitatakiwa kwenda Kigoma, by jumatatu niwepo hapo kuna issue, then back Dar.
View attachment 3471778
Google Maps ananiambia nina kilometa 2,500 kwenda nakurudi.
Niliwaza nitoke Dar asubuhi sana. Moro nifike by saa 4, nifanye hiyo kazi, kisha same day niamshe mida ya saa 12 jioni, nikalale Tabora jumamosi. Hafu kesho yake jumapili nitoke Tabora hadi Kigoma.
Mwenye uzoefu zaidi, vipi barabara ina changamoto? Kuna mahala pa vumbi au mkeka mwanzo mwisho?
Najua baba kudrive gari mpk binadamu😂Mama si unajua kudrive lakn
😀😀 hapo kwenye binadamu....you drive me crazyNajua baba kudrive gari mpk binadamu😂
😂😂chai umekunywa lkn😀😀 hapo kwenye binadamu....you drive me crazy
Bado😂😂chai umekunywa lkn
Njoo ule makande na chai ya rangiBado
😀 mh!Njoo ule makande na chai ya rangi
Au ngoja niyabebe tutakula tukiwa safarini😂😀 mh!
Hapana mamAu ngoja niyabebe tutakula tukiwa safarini😂
Hapo tunakua tunabana matumizi😂Hapana mam
A.a tutakula vizuri usijaliHapo tunakua tunabana matumizi😂
Mm ni nan nipinge na ww umesha sema,hapa bado kusafiri tu😂A.a tutakula vizuri usijali