Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Hahaha haya bhanaMm ni nan nipinge na ww umesha sema,hapa bado kusafiri tu😂
Hahaha haya bhanaMm ni nan nipinge na ww umesha sema,hapa bado kusafiri tu😂
Gharama ya mafuta ya Km 2500
Gharama ya mafuta km 2500 kwenda na kurudi(5,000 Km) na kula njiani ni kiasi gani?
Air Tanzania go and return kigoma kama laki 7 na vichenjichenji, Precision haifiki huko ila ukienda kupandia Mwanza mpaka dar kwenda na kurudi ni kama laki nne na nusu.
Gari unaacha airport pale.
Au unataka ununue kuku singida,mafuta tabora pale ufike Dodoma ununue wine ufike chalinze ununue nyama choma,mananasi vyungu na miiko.vya kupelekea wenyeji wako dar au vya kurudi navyo nyumbakumbuka kuwa amesema anataka kupitia moro kikazi
Kwamba kutoka Dar to Kigoma ni km 2500?? Jiografia imekupiga chenga, math imekupiga toboGharama ya mafuta ya Km 2500
Gharama ya mafuta km 2500 kwenda na kurudi(5,000 Km) na kula njiani ni kiasi gani?
Air Tanzania go and return kigoma kama laki 7 na vichenjichenji, Precision haifiki huko ila ukienda kupandia Mwanza mpaka dar kwenda na kurudi ni kama laki nne na nusu.
Gari unaacha airport pale.
Au unataka ununue kuku singida,mafuta tabora pale ufike Dodoma ununue wine ufike chalinze ununue nyama choma,mananasi vyungu na miiko.vya kupelekea wenyeji wako dar au vya kurudi navyo nyumbani
jamaa kanitisha sanaGari za SA zipo powa kabisa
1245 km 776 mile SImpre.Kwamba kutoka Dar to Kigoma ni km 2500?? Jiografia imekupiga chenga, math imekupiga tobo
Ni 1200-1300 hivi Mkuu.Kwamba kutoka Dar to Kigoma ni km 2500?? Jiografia imekupiga chenga, math imekupiga tobo
Hizo 2500 jamaa alikadiria kwenda na kurudi sio kwenda pekee.Ni 1200-1300 hivi Mkuu.
Nlikosea
Anhaa Sasa nimeelewa nashukuru mkuuHizo 2500 jamaa alikadiria kwenda na kurudi sio kwenda pekee.
Labda kaashaliwa tako huko kuna mrejesho tenaMad Max nina imani ulisafiri salama nakuomba utupe mrejesho wa safari yako hatutakosa ya kujifunza
Labda kaashaliwa tako huko kuna mrejesho tenaMad Max nina imani ulisafiri salama nakuomba utupe mrejesho wa safari yako hatutakosa ya kujifunza
Mkuu shukrani. Nilienda na kurudi. Nilileta feedback sema kwenye uzi mwingine mkuu.Mad Max nina imani ulisafiri salama nakuomba utupe mrejesho wa safari yako hatutakosa ya kujifunza