Tabora kigoma ni kama 7hrsWakuu.
Ijumaa nina iyo safari kutoka Dar kwenda Moro, ambako nitafanya kazi flani kama masaa 6-8 katika ofisi ya serikali kwahiyo lazima uwe muda wa kazi, then nitatakiwa kwenda Kigoma, by jumatatu niwepo hapo kuna issue, then back Dar.
View attachment 3471778
Google Maps ananiambia nina kilometa 2,500 kwenda nakurudi.
Niliwaza nitoke Dar asubuhi sana. Moro nifike by saa 4, nifanye hiyo kazi, kisha same day niamshe mida ya saa 12 jioni, nikalale Tabora jumamosi. Hafu kesho yake jumapili nitoke Tabora hadi Kigoma.
Mwenye uzoefu zaidi, vipi barabara ina changamoto? Kuna mahala pa vumbi au mkeka mwanzo mwisho?
Tupo na option tatu.Utatumia gari gani?
Kigoma Kwa magari haya ya baby walker lazima ubebe na dawa za maumivu ila kama upo SUV utaenjoy sana
MmmmhmnTupo na option tatu.
X5, Fit na Crown. X5 tatizo spana mkononi shughuli inaweza kuishia Moro. Crown mchawi wese tunaweza overspend. Fit ndio best option ila comfortability ndio mchawi. Nitakua na jibu jumanne.
Naenda na bebe nae ni dereva mzuri tu. Tunataka tuwe na vituo vya kulala viwili hivi ila kurudi hatuna haraka tunaweza lala ata kila mkoa (Tabora, Dom ata Moro).
Na uzi wa mshahara wa January mbona umechelewaKuwa makini mkuu jukwaa la JF Garage na jukwaa la Tech, Gadgets & Science bado tunazihitaji nyuzi zako pendwa
Take care, safari njema, Mungu awatangulie.
Kama hakuna ulazima usiende na private mkuu.
Hapo ndio mchawi. Ulazima ni mkubwa kiasi kwasababu ya nature ya kazi na vitu tunavyobeba. Unanitisha mkuu.Kama hakuna ulazima usiende na private mkuu.... kuendeesha dsm kigoma kwenda na kurudi sio poa...hata kama utalala njiani...
Labda kwenye gari muwepo kama watatu wote madereva ....
Khs gari nenda na hio Crown...japo linakula wese kama jini
Hapo mbna nimeona best option ni crown mkuu na kngne kama gari nzima nzuri highway mafuta hayatoenda sana nikama fit uongeze kdg tuuKuna strategy nimeiona, kila 400-500 km nalala na kila 150-200km nabreak saa 1, speed max 80kph
Haha 2028 naenda na BYD uko. Kuchaji Dodoma na Tabora.