Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

Hapa nmekuelewa vizuri, si unaona nilipokuambia elezea hapa nini unafanya inakuwa rahisi kupata new leads. Ngoja ni bookmark huu uzi akitokea mtu inakuwa rahisi ku refers kwako...
 
Ivyo vitu vya ofisini wala visikuumize kichwa jaribu kuwa creative kwakuangali Pinterest pictures. Unakuta meza inauzwa laki 3 lakini ukapata design nzuri yenye using available resources katika mazingira ya kawaida. Kuna kitu kinakitwa minimalistic design jaribu kutafuta au angalia hii kitu

Hiyo deposit ni kitu muhimu sana katika nyumba za biashara, wana assume ukishindwa kulipa kwa huo muda hiyo ela ita cover cost, huku ukiwa na notice yakuhama mapema
 
Ningelikuwa mimi, huyo mama ningemweleza kwanza ukweli wote na jinsi unavyostruggle.
Pengine angekuwa mteja wako wa kwanza na angekusaidia hakika. Amini.
Anyway, jaribu kwenda posta kuna ofisi nyingi zipo wapi.......jengo la kitega uchumi kwa mfano halina wapangaji.

Kama una uthubutu, nenda hata majengo ya serikali zile zilikua wizara zamani; kuna magap kibao. Ongea vizuri na wadau.
 
mkuu hayo maelezo uliyotoa hapo juu pamoja na yale ya comment yako ya #14..fanya edit na kuyaweka mwanzoni mwa uzi naamini utaeleweka vizuri na kuaminiwa zaidi..kwani niliposoma uzi nami niliwaza kama hao wateja wako waliokutosa kuwa ww ni kanjanja tu mjini unatafuta fursa..unaonekana hauko serious au unapenda fanya mambo nusu nusu unawapa mashaka watu kukuamini..mungu akufanyie wepesi kwenye hitaji lako
 
Uhitaji wako ni budget ya kiasi gani?
At minimum ni estimated 2,500,000
Hapo nimeconsider the cheapest option possible ya office space kwa ku rent frame ya biashara na ku improvise iwe office frame hiyo yenye bei ndogo na yet ipo katika location strategically nimeona ni 300,000 kwa mwezi kwahyo hiyo 2,500,000 ina include rent ya 6 month na minor furnitures mkuu.
 
Kiongozi unadhani sikumueleza huyo mama nilimueleza honestly akasema nimekuelewa but kwa sasa itakuwa ngumu maana mchakato wa ku mpereka mwanae Germany una include kitu kinaitwa Block account ambayo ina mpasa afanyq deposit ya 36M kwahyo alinieleza kiungwana kuwa ana mengi kwa muda huu.

Ila kuhusu kutafuta ofisi si punde nimetoka Jengo la Tume ya madini hapa posta lina space juu ambazo hazi fanyiwi kazi kwa muda mrefu Lakin still mwezi mmoja wamenigomea. Kwahyo hadi nimefika hapa kiongozi hizo approach unazozifikoria nimezifanya na zaidi kaka angu Sean.
 
Niwazo jema ndugu yangu na ninashukuru sana kwahuo ushauri. Niliweka maelezo yale kwasababu details za operation na mechanism nzima za hii biashara ni nyingi mno nimeweka maelezo macheche tuu kupisha mazungumzo rasmi na ya hana kwa hana kwasababu honestly hata maelezo yenyewe ya comment #14 ni machache tuu kuna details nyingi zaid. Ila once again nashukuru kiongozi kwa ushauri na mtazamo wako.
 
Asante sana kingozi upo sahihi kabisa minimalist approach is right approach.
 
I mean no malice but, ungeweka huu uzi seriously kidogo as I know huku kuna watu ambao wana uwezo wa kuwekeza au hata kukukopa pesa ikiwa tu wataona kuwa pesa yao itarudi au watapata faida. Kwa jinsi ulivyoweka huu uzi umeonesha tu kutia huruma, na kiukweli huruma haitakufanya usaidiwe. Kitakachokufanya usaidiwe ni kuwaonyesha watu kwamba wakiweka pesa itarudi( watapata faida) sio kulia lia hivyo no body cares.
What you should have done?
Ilitakiwa uonyeshe kiasi cha pesa kinachohitajika, kiasi ulicho nacho, na kiasi unachohitaji kutoka kwa mwekezaji ( partner) au mkopeshaji. Then onyesha ni kwa namna gani unaamini pesa yake italipwa ikiwa atakukopesha au ikiwa atainvest.
Kama ni mkopo sema how much interest you are willing to pay kwa muda fulani. Tell why should s/he trust your business.
Be willing to share your business plan, leseni na vitu vingine akivihitaji ( in private) make it as fundraising sio kuomba msaada. Tell them we both benefit if it works.
Jaribu Wasiliana na RMK Freelancers Agency may be he can help you to do it professionally.
 
Pia achana na kiswanglish. Kiswanglish waachie slay queens na matapeli. Ongea kiswahili kilichonyooka.
 
Posta Kuna Majengo mengi hayana wapangaji
Jitose

Kopa nyang'anya iba
Upate Kodi ya 3 months
Dunia Haina huruma kwa wapambanaji
Madam umenifurahisha sana. Wakati naanza biashara mwaka 2014 nililikuwa naishi Msimbazi bondeni kwenye chumba kimoja ila kuna siku nilipata laki 9 ya ghafla nikatumia laki 7 kupanga frem ya ofisi na kuweka shelf za mbao. Shelf zilikua tupu hazina bidhaa nikaweka files za kizushi. Kwenye lile jengo nilikuwa ndo mpangaji maskini zaidi. Lakini nilikomaa hadi mambo yakakaa sawa. Kuna watu kodi zilikiwa zinawashinda wanaachia frem ila mimi nilidumu hadi miaka 5 baadae nilipohama. Mwenye nyumba akadai wewe ndo ulikuwa mpangaji niliyedhani hutatoboa miezi 6 tukacheka sana.
 
Mim naona ajifunze kuandika kwanza ndo aje tumpe mtaji au partnership.
This is redflag🤔
Mfano, nikaopt option😀 what does it mean, aya nikakopa 25k na nilikuwa na 25k nikapata kodi ya 2 days😀 what does it mean.
Nonsense
😂😂😂 hahaha aya ndugu yangu.
 
Mim naona ajifunze kuandika kwanza ndo aje tumpe mtaji au partnership.
This is redflag🤔
Mfano, nikaopt option😀 what does it mean, aya nikakopa 25k na nilikuwa na 25k nikapata kodi ya 2 days😀 what does it mean.
Nonsense
Hawa vijana wajinga sana. Kwa uandishi wake ndo itakuwa anavyoongea pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…