Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

Hii comment inatia moyo sana...Asante kiongozi.
 
Pia achana na kiswanglish. Kiswanglish waachie slay queens na matapeli. Ongea kiswahili kilichonyooka.
Kiongozi platform hii yenyewe inaitwa JamiiForum ( Kiswahili na Kingereza) kama maamuzi yako juu ya Mada yangu ni based na mimi kuandika kiswahili na kingereza huku platform yenyeseyewe inajina la kiswahili na kingereza in one ( kiswngilish) basi maybe wew sio mlengwa sahihi katika hii Mada kiongozi.
 
Huu ubishi wako wa kijinga ndo utazidi kukudidimiza.
 
Na uwezo wa kukusaidia kuku connect na ndugu zangu wakusaidie ngoja nitafakari na nipembue Mwenyezi Mungu aniongoze.

By the way humu ndani nakuhakikishia 100% umepata MSAADA chakufanya kua mtulivu
 
Nashukuru Mkuu actually no malice taken..upo sahihi na una ushauri mzuri na nikweli naamin pia kuwa humu kuna watu wanaoweza kuwa msaada kwneye upande wakutoa ufafanuzi wa kina nadhani ni business plan nimeona ni busara ni karesleve hiyo kwa mazungumzo ya kina ya mezani na muhusika maana ukwel ni ouwa nikiandika kila kitu nitawachosha kusoma Lakin kwa yule ambae ameweza kusoma kwa uchache wanilichokiandika na akaona ni jambo la heri tunaweza kaa mezani nakuzungumza kwa kina Umaga na hata nikaonesha proof za registration na kadharika. Once again Asante kwa comment yako yenye busara tele.
 
Huu ubishi wako wa kijinga ndo utazidi kukudidimiza.
Acha KUSUMBUA WATU kama Huna MSAADA pita kimya kimya Kama unaaga maiti.

At least kama huwezi kutoa MSAADA at least USIWAUMIZE WATU..UMEJAZA MOYONI MWAKO U SADIST 😆

MAMASAMIA WAKIUME WEWE SIO LAZIMA KUANDIKA KAMA HUNA CHA KUCHANGIA CHOCHOTE NYAMAZAA ACHIA WENYE UWEZO

NB. IF YOU CAN USE THIS ENERGY FOR YOUR LIFE, THEN YOU WILL NOT BEGGING FOR FOOD.
 
Shukrani kwa kuelewa, and goodluck.
Nothing difficult like making something done, do whatever it takes ila usivunje sheria au kuharibu utu. Make sure unatoboa na utarudi humu kutupa mrejesho. Vijana smart kama nyinyi hapa Tanzania ndio mnahitajika.
Mungu akubariki wewe, mungu bariki vijana wote wanabunifu.
Make Tanzanian youth great again!
 
Hii comment imenitia moyo sana na kuni motivate God bless you Mkuu. Natumain hii comment itakuwa faraja na ya kutia moyo kwa vijana wengine wengi wanachakalika.
To make Tanzania youth Great again.
 
Hii 25K ni dollars?
Kakaa nje ya nchi....miaka 6

Ana connection nyingi....afu unaazima elf 25 kweli,hzo connection ni za umeme au maji,..? Wanashindwa ata kukupa msaada wa mil kadhaa

Anyway biashara ni kujitoa sadaka sio lelemama......nenda bank na hizo connection upate mkopo,
 
King umenifurahisha ndugu yangu ni kwel kabsia miaka 6 na Mize 4 na siku 3 nje na nina contact na connection rukuki. Sada ukuzingatia kuwa nimeenda nje kwa kijana wa mkulima ambae nilienda huko kwa opportunity za kudandia na nikarudi nyumbani nchini ambako mfumo wa maisha haupo structured ku wezesha ideas kama kwa wenzetu upo structured kuwezesha exciting business. Ila pia bank huoneshi idea ama connection kaka angu unless ni bank nisiyohifahamu binafsi.
 
Congratulations. You really have a calling in BROKEN English.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…