Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Pamoja katika kujenga taifa.Hii comment imenitia moyo sana na kuni motivate God bless you Mkuu. Natumain hii comment itakuwa faraja na ya kutia moyo kwa vijana wengine wengi wanachakalika.
To make Tanzania youth Great again.
Watu wengi tuna idea nzuri zinazolipa ila mitaji ndio kipengeleAsante Mkuu..ila ni zaidi ya idea nime register nime execute imenipa matokeo ila changmoto ni hiyo nielieelezea.
Kiongozi awali ya yote naomba nikushukuru kwa vote of confidence na kuniamini. Na ili kuithamini imani yako juu yangu na juu ya ninacho fanya mchakato wote na maelezo yote yale naomba nitakuwa na uweka wazi hapa mbele ya hii jumuhiya ya wanajamii Forum wakiwa mashaihidi.Habari brother, nimepitia huu Uzi wako wote na Nimekuelewa sana.
Kuna aina ya biashara ambayo office Yako ndio dhamana Yako
Watu watajenga Imani na wewe kupitia office Yako.
Sasa Mimi Nina Imani na wewe na Naona kabisa utafika mbali kwa hii kaiz Yako.
Sasa naomba Mimi niwe mteja wako wa kwanza nikupe huo mtaji kupitia malipo Yangu.a
Natafuta KAZI nchi kama Denmark
Poland....KAZI nayohitaji ni unskilled...japo Nina kishahada...
Naomba mchakato wote gharama Yako wewe ni kiasi gani.??
Mkataba wa kazi ni muda Gani?
Malipo ya kazi kule ni kiasi gani?
Nitaondoka ndani ya muda Gani??
Nimeamua kukuamini naomba unijibu vizuri hapa ili wengine wavutiwe na utendaji wako...
Ahsante
Kuwa serious bro. Sasa yeye mwenyewe kashindwa kujitafutia ajira huko atawezaje kukutafutia wewe? Mtu ambaye Tsh 25,000/= hana pamoja na connections zake ni mtu asiyeaminika. Kijana akafanye hata vibarua vya kuponda kokoto ajiwekee akiba kama miezi 6 kisha arudi town kuendelea ni michakato yake.Habari brother, nimepitia huu Uzi wako wote na Nimekuelewa sana.
Kuna aina ya biashara ambayo office Yako ndio dhamana Yako
Watu watajenga Imani na wewe kupitia office Yako.
Sasa Mimi Nina Imani na wewe na Naona kabisa utafika mbali kwa hii kaiz Yako.
Sasa naomba Mimi niwe mteja wako wa kwanza nikupe huo mtaji kupitia malipo Yangu.a
Natafuta KAZI nchi kama Denmark
Poland....KAZI nayohitaji ni unskilled...japo Nina kishahada...
Naomba mchakato wote gharama Yako wewe ni kiasi gani.??
Mkataba wa kazi ni muda Gani?
Malipo ya kazi kule ni kiasi gani?
Nitaondoka ndani ya muda Gani??
Nimeamua kukuamini naomba unijibu vizuri hapa ili wengine wavutiwe na utendaji wako...
Ahsante
😂😂😂 sitoenda kuponda kokoto zozote zile kiongozi na nitapata breakthrough humu humu kwneye hii forum ndugu yangu ilo ninaamin kwa hakika.Kuwa serious bro. Sasa yeye mwenyewe kashindwa kujitafutia ajira huko atawezaje kukutafutia wewe? Mtu ambaye Tsh 25,000/= hana pamoja na connections zake ni mtu asiyeaminika. Kijana akafanye hata vibarua vya kuponda kokoto ajiwekee akiba kama miezi 6 kisha arudi town kuendelea ni michakato yake.
JF ilikuwa ya zamani sio sasaMadam Jane upo sahihi yani ninafanyaga survey na huwa najitosa sana hasa posta yani hata jana nilienda nilikutana na kihoja dada angu handler wa jengo ni kampuni flani sitohitaja ila baada ya mazungumzo nao walikubali rent ya mwezi mmoja ila kimbembe nikuwa wanahitaji nilipe security deposit sio one month but ya 3 months nikasema duu ndo utaratibu gan huu kwahyo miez 4 hapo. Lakin pia dada angu offisi is one thing bado meza na viti ( furniture) hata kama ni vya cello Lakin still namaanisha kuna another cost on top of cost. Sinauwezo wa kunyanganya na kuiba Dada angu pamoja nakuwa ni kwel Dunia haina Huruma kwa watafutaji, uwezo wangu ni huu wa kutafuta wadau na walengwa kwenye platform kama hii ya JF kuingia kwenye makubaliano ya kutunufaisha sote ama nje ya hapo kama pangekuwa na watoa mikopo kwa bisashara zinazojiestablish nazani ningekuwa wa kwanza kwenye folen maana ningelala nje ya ofisi yao.ila still Asante kwa comment yako nzuri yakutia moyo.
Nashukuru sana- Jaribu kumshika mkono; Kwea kuwa nawe pia ni mpambanaji (Mimi Nimfuatiliaji wa Thread zako};
I love your spiritMadam umenifurahisha sana. Wakati naanza biashara mwaka 2014 nililikuwa naishi Msimbazi bondeni kwenye chumba kimoja ila kuna siku nilipata laki 9 ya ghafla nikatumia laki 7 kupanga frem ya ofisi na kuweka shelf za mbao. Shelf zilikua tupu hazina bidhaa nikaweka files za kizushi. Kwenye lile jengo nilikuwa ndo mpangaji maskini zaidi. Lakini nilikomaa hadi mambo yakakaa sawa. Kuna watu kodi zilikiwa zinawashinda wanaachia frem ila mimi nilidumu hadi miaka 5 baadae nilipohama. Mwenye nyumba akadai wewe ndo ulikuwa mpangaji niliyedhani hutatoboa miezi 6 tukacheka sana.
No one is coming to save himJF ilikuwa ya zamani sio sasa
Mimi nilikulaga zauso humu labda iwe bahati yako
Komaa kivyovyote upate hela
Ukikosa posta nenda quality center Kuna office spaces pale unapewa na ofisi kabisa full furnished na Kuna sehemu zingine pia kikubwa usikate tamaa na Wala usijitilishe huruma maana hautahurumiwa