Nina shida ya millioni 30, naombeni mbinu ya kuzipata

Black deal alafu kuweka hela bank sio poa mzee
 
Black deal alafu kuweka hela bank sio poa mzee
Unaweka tu,Haina shida Kuna elimu unatakiwa kuipata ya kutakatisha pesa haramu ili kuzifanyaa safii, hakuna kinachoshindikana mkuu.

Cha kuzingatia ni kufanikiwa maisha haijalishi njia unayotumia ni legal au illegal.
 
Mstari wa mwisho iko sahihi sana mkuu,if jnqfqnya forex.
Sasa si bora kuhold coin tu,kuliko bank za bongo qmbazo hazieleweki
 
Mstari wa mwisho iko sahihi sana mkuu,if jnqfqnya forex.
Sasa si bora kuhold coin tu,kuliko bank za bongo qmbazo hazieleweki
Natumia bank za ndani kuweka na kutoa pesa za forex.. natumia equity bank Tena Nina account ya USD bank, Haina shida kabisa
Au unaogopa kesi za kutakatisha pesa chafu?
 
Mkuu naomba kuuliza mfano nikawekeza 60millions na kupata gawio la 500k monthly..Je,nitakua napata kwa muda wa miaka mingapi hilo gawio?na hiyp 60ml inabaki Fixed nitarudishiwa yote baada ya Muda gani?
Ina depends unaweka wapi, kama UTT utapata maisha yako yote, labda tu uamue principal amount uitoe yote na hapo utakuwa umefikia mwisho.na kama umenunua bond za benki kuu inategemeana na umechukuwa za miaka mingapi kama mfano ni 20yrs, utapata faida kwa 20 years na utapewa principal amount uliyowekeza mwanzo.
 
Asante mkuu.
 
Biashara Sio rahisi kihivyo pia Sio mtu ana mkono wa biashara
 
UTT ni nini mkuu na inakuwaje
 
Swali wakuu, hiyo milion 60,
Ukijenga nayo nyumba 1 yenye vyumba 10 huko mtaani Kisha unapata kodi ya laki 5 maana kila room elfu 50

Na ukiiweka huko kwenye forex kama kununua Bind au UTT kisha unapata faida laki 5 kila mwezi

Ipi upande mzuri?
Je kodi ya nyumba laki 5 au Faida ya gawio kaki 5?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Gawio ni zuri mkuu,huko kwenye nyumba kila baada ya muda utahitaji kufanya service..na pia haitakupa guarantee ya vyumba vyote kumi kuwa na wapangangaji miezi yote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…