Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
- Thread starter
- #41
Wazo zuri sana HiliAnza biashara ya kuuza sigara na kahawa.
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo zuri sana HiliAnza biashara ya kuuza sigara na kahawa.
Black deal alafu kuweka hela bank sio poa mzeeWazo lako ni kama la kwangu. Ila tofauti ni kiasi tu ukicho target , Mimi nimetaget gawio la kuanzia 1mil, ikifika hapo nitaacha vibarua vya serikari.
How to get it?
Ukisema uitafute yote kwa mkupuo ni ngumu kuipata, ila njia nzuri ni kuweka saving kidogo kidogo, ukipata 20k unaweka,ukipata 10k unaweka, mimi natumia njia hiyo na nikuambie tu nimeanza na pesa ndogo sana Tsh 50,000/=.ni mpango 2a muda mrefu sana, ila kwa Sasa zimefika kama 9milioni.
Kama unajua forex vizuri, unaweza kuwa unapata vilakilaki unaweka saving, ila ukitaka pesa ya mkupuo na hauna dhamana yoyote ni ngumu kutoboa.
Mimi kwangu hakuna pesa ndogo mfuko wa bond unaruhusu top up kuanzia 5,000/=, Mimi Kila pesa nayopata kuanzia 5,000 huwa lazima niende bank ya CRDB naweka kwenye account yangu ya mfuko wa BOND, njia ya saving inaokoa sana faida yake utakuja kuona baadae, unajikuta umefikisha milioni Moja wakati ulikuwa unaweza saving za 50k 10k.
Anyway kwangu Mimi njia ya kwanza ni nanayotumia ni Saving, ya pili forex,ya tatu kazi za mtaani za ujenzi,ya nne black dili,Kuna zingine ni Siri yangu siwezi kuweka public hapa.
Unaweka tu,Haina shida Kuna elimu unatakiwa kuipata ya kutakatisha pesa haramu ili kuzifanyaa safii, hakuna kinachoshindikana mkuu.Black deal alafu kuweka hela bank sio poa mzee
Mstari wa mwisho iko sahihi sana mkuu,if jnqfqnya forex.Unaweka tu,Haina shida Kuna elimu unatakiwa kuipata ya kutakatisha pesa haramu ili kuzifanyaa safii, hakuna kinachoshindikana mkuu.
Cha kuzingatia ni kufanikiwa maisha haijalishi njia unayotumia ni legal au illegal.
Mkuu kwa Sasa unajishughurisha na mambo Gani ? umeoa? Unasoma? what your financial stability?.Asante umenipa moyo nitaufanyia kazi ushauri wako
Mkuu naomba kuuliza mfano nikawekeza 60millions na kupata gawio la 500k monthly..Je,nitakua napata kwa muda wa miaka mingapi hilo gawio?na hiyp 60ml inabaki Fixed nitarudishiwa yote baada ya Muda gani?nimeshangaa pia ili upate 500000 kama gawio la mwezi inatakiwa uweke si chini ya 60 millions
Natumia bank za ndani kuweka na kutoa pesa za forex.. natumia equity bank Tena Nina account ya USD bank, Haina shida kabisaMstari wa mwisho iko sahihi sana mkuu,if jnqfqnya forex.
Sasa si bora kuhold coin tu,kuliko bank za bongo qmbazo hazieleweki
Ina depends unaweka wapi, kama UTT utapata maisha yako yote, labda tu uamue principal amount uitoe yote na hapo utakuwa umefikia mwisho.na kama umenunua bond za benki kuu inategemeana na umechukuwa za miaka mingapi kama mfano ni 20yrs, utapata faida kwa 20 years na utapewa principal amount uliyowekeza mwanzo.Mkuu naomba kuuliza mfano nikawekeza 60millions na kupata gawio la 500k monthly..Je,nitakua napata kwa muda wa miaka mingapi hilo gawio?na hiyp 60ml inabaki Fixed nitarudishiwa yote baada ya Muda gani?
Dah maisha haya , hiyo m30 ni mshahara wa mtu hapa TZ
Asante mkuu.Ina depends unaweka wapi, kama UTT utapata maisha yako yote, labda tu uamue principal amount uitoe yote na hapo utakuwa umefikia mwisho.na kama umenunua bond za benki kuu inategemeana na umechukuwa za miaka mingapi kama mfano ni 20yrs, utapata faida kwa 20 years na utapewa principal amount uliyowekeza mwanzo.
Biashara Sio rahisi kihivyo pia Sio mtu ana mkono wa biasharaInaonekana kuna tapeli kakuwin tayari, we kaweke hiyo 30m ili uwe unapata laki 5 kila mwezi.
Dezo mbaya sana.! Isitoshe ni ujinga yaani m30 ikuingizie laki 5
M30 unapata laki 5 kwa mwezi ni sawa na 17000 kwa siku.
Ukiongeza akili kidogo tu.
M30 unanunua bajaji 3 na chenji inabaki.
Bajaj 3 kila siku 15000 bajaj 1 × 3 = 45,000 per day.
Akikopa atatakiwa arejeshe Sio chini ya laki 7 kwa mwezi atakuwa anatwanga bahariKama wewe ni mtumishi wa umma,nenda ukakope mkuu.
UTT ni nini mkuu na inakuwajeIna depends unaweka wapi, kama UTT utapata maisha yako yote, labda tu uamue principal amount uitoe yote na hapo utakuwa umefikia mwisho.na kama umenunua bond za benki kuu inategemeana na umechukuwa za miaka mingapi kama mfano ni 20yrs, utapata faida kwa 20 years na utapewa principal amount uliyowekeza mwanzo.
Gawio ni zuri mkuu,huko kwenye nyumba kila baada ya muda utahitaji kufanya service..na pia haitakupa guarantee ya vyumba vyote kumi kuwa na wapangangaji miezi yote..Swali wakuu, hiyo milion 60,
Ukijenga nayo nyumba 1 yenye vyumba 10 huko mtaani Kisha unapata kodi ya laki 5 maana kila room elfu 50
Na ukiiweka huko kwenye forex kama kununua Bind au UTT kisha unapata faida laki 5 kila mwezi
Ipi upande mzuri?
Je kodi ya nyumba laki 5 au Faida ya gawio kaki 5?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app