Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Idea namba "2" ni nzuri sana! Tafuta partner wa biadhara hasa wahindi, wasomali au waarab utafanikiwa! Akiwa mswahili basi awe na exposure
Yeah, ni idea nzuri sana sema inahitajika capital ya kutosha, like 64m mara mbili yake angalau. Ila kama nataka kuifanya hiyo naweza kuanza pia kidogo kidogo, nikaanza na something small then ikakua taratibu with time.
 
Kwanini usichukue muda wako mfupi kujifunza?
Kwanini usiende pale Sukari house ukajifunza halafu uje hapa unikatalie kwa facts?

Mbona ni kitu kidogo tu mkuu, wapigie hata simu kisha uje unieleze hapa kuwa nimedanganya. Usiwe kama mjinga unayebisha bila kufanya utafiti hata mdogo tu.
 
mkuu wala sihitaji kwenda sukari house maana hiyo kitu ya 30% haiwezekani economically..yaani niweke 100m niwe napata 30m per year?wao wanafanya business gani hadi kuzalisha namna hiyo?sana sana na wao wanaenda kuweka kwenye bonds za BOT..hakuna return ya namna hiyo kwa hao jamaa na hawana hizo akili za kuzalisha that rate kwa mwaka.
 
Poa mkuu
 
Mimi kabla sijakupa ushauri naomba unifafanulie kwa namna ipi wewe, kama muajiriwa, ulivyoweza kusave 63m ndani ya miezi 8 tu.
Ili uweze kusave 63m ndani yra mieΕΎi 8, ni lazima ulikuwa unasave 8m kila mwezi.
Sasa hapo si kuna upigaji jiongeze
 
Yeah, ni idea nzuri sana sema inahitajika capital ya kutosha, like 64m mara mbili yake angalau. Ila kama nataka kuifanya hiyo naweza kuanza pia kidogo kidogo, nikaanza na something small then ikakua taratibu with time.
Tafuta partner... kwa Dodoma mtapiga pesa nyingi maana ni kitu kipya tena hakikisha inakuwa Wow! Hata watu wa Dar wakija wanakubali
 
Utakuwa uko kwa wazungu wewe...ndo wenye mishahara hii
 
Umuwahi MU7 sasa kabla hajadanja..akiingia yule mtoto wake mtakoma
 
Mmmh abarikiwe sana eeeh [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…