Nasave hadi lini mkuu? Nature hya kazi ninazofanya ni za miradi ya miaka 5-7. Hapa nilipo mradi unaisha 2026, from there kinachofuata ni majaliwa, either niwahi kutoka kabla mradi haujaisha au nibahatike kupata mradi mwingine huu unapoisha. Sasa hata nikifanikiwa maisha hayo hadi lini? Way forward ni lazima nianzishe kitu changu cha kunitengenezea pesa nje ya ajira, hilo halikwepeki mkuu hata nikisave vipi..!! Hatua ya kusave inaenda vizuri hadi sasa, ila sasa hatua inayofuata ni lazima ni invest kuzalisha hii pesa mkuu!! Yaani hiki kitu kinaninyima usingizi daily nakaa nawaza hata hadi saa kumi alfajiri mara nyingi tu, wife anashtuka mara nyingi ananikuta niko awake anashangaa vipi wewe mbona hulali...?
Kusave peke yake hakusaidii mkuu, ni lazima ni invest!!