Unakodoa,simba ni mwindaji sio mviziajiSio swali la kawaida hio mkuu; mfano wewe unatoka zako kula ulabu bia 2/3 Matako Bar unatembea kwa miguu huna hili wala lile Simba na kundi lake la Simba hawa hapa mbele yako unafanyaje?
Jibu swali mkuu huna jibu usisingizie majani, nahitaji watu wa wanyama pori km wapo humu watusaidie kujibu ili kujinusuru unapokutana na kundi la Simba unatakiwa ufanye nini? Au hata km kuna Wamasai wanaweza wakatusaidia hili swaliMajani yazidi kupigwa ban
Ndio linafanana na hilo maana hilo pia linafikirisha, sasa jibu swali umekutana na kundi la Simba mbele yako utafanya nini ili kujinusuru usife?Any way swali lako kuwa ukikutana na Simba wengi na uko sehemu ambayo sio rahisi kujitetea ni sawa na swali mtoto akikuuliza hivi ukitupwa baharini na hujui kuogelea Baba Utakufa?
Hapo huna la kufanya zaidi ya kuwaitia Yanga wamalizane nao chap. 😂Wakuu, naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kidogo kwenye hili. Naomba kueleweshwa kwa mfano Simba wengi namaanisha wengi wakaamua kutoka MBUGANI kwenye Hifadhi ya Wanyamapori wakaingia mjini watu wataokutana na Simba hao wanatakiwa kufanya nini ili wasidhurike?.
Naomba hili swali nijibiwe na mwenye uelewa nimeona km kuna Simba wengi sana wanaenda kuingia mjini ila sijui ni wapi. Na msiniseme km naumwa au naugua kichaa au nimeonaje. Naomba kwa mtu mwenye uelewa atufafanulie Simba wakiingia mjini watu wanatakiwa kufanya nini?
Namaanisha hivi ukikutana na Simba wengi sehemu ambayo hakuna nyumba hakuna mti hakuna kitu chochote cha kujibanza umekutana na kundi la Simba wengi hili hapa unatakiwa kufanya nini?
Hapo kwenye tokaa unapaswa kuwa kama unakemea kama walokore?Wakati huo unajiuliza kufanyaje na Simba nao wanajiuliza wafanyaje.
Cha kufanya ni kuwambia tokaaaaa,
Wataondoka zao