Nina Swali fikirishi nahitaji kupata ufafanuzi kuhusu Wanyama Pori

Nina Swali fikirishi nahitaji kupata ufafanuzi kuhusu Wanyama Pori

HUTOBOI Mkuu….. as long as hao Simba wamekuja kuwinda binadamu

Ukiangalia Net Geo Wild jinsi Simba hata wawili tu wanavyo mshambulia hadi kumuu Nyati dume lenye uzito karibu mara 5 ya uzito wao utabaini kwamba Binadamo Odd yake ni 0.0 mbele ya Simba anapo amua kumshambulia
Mkuu umemaliza mzozo huu, kwa hio unathibitisha ni ngumu kutoboa kwenye kundi la Simba mbele yako?
 
Hapo ngoja wahusika waje Ila Kwa mwananchi wa kawaida ni mbio zitamuokoa wachache Sana km wamasai ndio wataweza kusimama au kupambana
Kumbuka ni Simba ni wengi mkuu sio Simba mmoja?
 
Mbona Simple Tu!. Ukikutana na SIMBA wala usihangaike chakufanya ni kuileta YANGA.
 
Lala chini kisha jikaushe km sukamu usitikisike hata ukiumwa na nyoka usishtuke, angalizo simba ana kawaida ya kukupiga kucha ili ahakikishe km umekufa kweli au unamuigizia maana simba hua hali mzoga km fisi
Usijidanganye ukivunga umekufa wakati damu bado ni ya moto Simba lazima apite na wewe
 
Back
Top Bottom