Nina Swali fikirishi nahitaji kupata ufafanuzi kuhusu Wanyama Pori

Nina Swali fikirishi nahitaji kupata ufafanuzi kuhusu Wanyama Pori

Umebase zaidi kwenye probability ya kuliwa zaid na simba.
Simba ana roho mbaya kama mwanadamu
Mkuu sijaegemea kwenye kuliwa maana hata kujeruhiwa kupo ndio maana nikauliza unafanyaje kujinusuru na kundi la Simba walio mbele yako?
 
Wakuu, naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kidogo kwenye hili. Naomba kueleweshwa kwa mfano Simba wengi namaanisha wengi wakaamua kutoka MBUGANI kwenye Hifadhi ya Wanyamapori wakaingia mjini watu wataokutana na Simba hao wanatakiwa kufanya nini ili wasidhurike?.

Naomba hili swali nijibiwe na mwenye uelewa nimeona km kuna Simba wengi sana wanaenda kuingia mjini ila sijui ni wapi. Na msiniseme km naumwa au naugua kichaa au nimeonaje. Naomba kwa mtu mwenye uelewa atufafanulie Simba wakiingia mjini watu wanatakiwa kufanya nini?

Namaanisha hivi ukikutana na Simba wengi sehemu ambayo hakuna nyumba hakuna mti hakuna kitu chochote cha kujibanza umekutana na kundi la Simba wengi hili hapa unatakiwa kufanya nini?
Mzee acha kuvuta jani
 
Najua Simba wanaiogopa Yanga, ntawaita Yanga waje wanitetee.
 
Kwanza kabla ya kujibu unapaswa kujua yafuatayo
Kwakawaida kundi la Simba huwa hawajagi mijini, Simba wanaishi kwa clan ndani ya eneo lao maalum lenye mipaka yake

Pia kwakawaida Simba hana nakawaida ya kumshambulia binadamu kama kitoweo chake

Kujibu swali lako
Tu assume Simba wameingia mjini USIKU na ukakutana nao hapo itategemea na mood ya Simba kwa wakati huo, je wameingia mjini kuwinda chochote watakacho kutana nacho kwasababu ya njaa au wanakatiza zao wanaendelea na safari yao ?

Ikiwa wamezidiwa njaa na waka vamia mjini kuwinda binadamu NIHATARI sana kwasababu simba akiwa kwenye attacking mode there is nothing you can do to stop them sana sana itategemea na u sharp wa instinct zako zitakutuma kufanya nini kwa haraka kulingana na mazingira yanayo kuzunguka

Kama kuna mti ukuta or whatever unaweza kujaribu kwa haraka kupanda….. yaani itategemea mazingira yako yana nini

Lakini kama wanapita zao na safari yao Simba wakikuona watajitahidi kukukwepa na hata ukikimbia watakuangalia tu na kuendelea na safari yao unless wahisi unataka kuwadhuru

Mwisho
Hizo habari za sijui Simba hali mizigo sio za kweli
Habari za kusema sijui uwakazie macho au utoe hofu Simba watakushambulia tu kama wana njaa na wamekuja kwaajili ya kukushambulia
 
Danieli 6:1-25​

Ila kumbuka yule Daniel wa Naijeria alieingia kwenye Zizi la Simba walimtafuna, tuache hayo tuje kwenye uhalisia mkuu unatokaje unapokutana na kundi la Simba mbele yako?
 
Back
Top Bottom