Mkuu umenijibu swali langu vizuri sana nashukuru umenipa mwanga ila tu kuna kitu bado sijakuelewa au labda hujanielewa nimesema mfano sehemu uliyokutana nao ni sehemu ambayo haina nyumba kwamba utakimbilia ndani kujificha, haina mti kwamba unaweza ukaenda kupanda ujinusuru na haina ukuta kwamba utapanda juu, sasa umekutana hawa hapo wewe na wao mnaangaliana unafanyaje hapo ili kujinusuru? Unarudi kinyumenyume?Kwanza kabla ya kujibu unapaswa kujua yafuatayo
Kwakawaida kundi la Simba huwa hawajagi mijini, Simba wanaishi kwa clan ndani ya eneo lao maalum lenye mipaka yake
Pia kwakawaida Simba hana nakawaida ya kumshambulia binadamu kama kitoweo chake
Kujibu swali lako
Tu assume Simba wameingia mjini USIKU na ukakutana nao hapo itategemea na mood ya Simba kwa wakati huo, je wameingia mjini kuwinda chochote watakacho kutana nacho kwasababu ya njaa au wanakatiza zao wanaendelea na safari yao ?
Ikiwa wamezidiwa njaa na waka vamia mjini kuwinda binadamu NIHATARI sana kwasababu simba akiwa kwenye attacking mode there is nothing you can do to stop them sana sana itategemea na u sharp wa instinct zako zitakutuma kufanya nini kwa haraka kulingana na mazingira yanayo kuzunguka
Kama kuna mti ukuta or whatever unaweza kujaribu kwa haraka kupanda….. yaani itategemea mazingira yako yana nini
Lakini kama wanapita zao na safari yao Simba wakikuona watajitahidi kukukwepa na hata ukikimbia watakuangalia tu na kuendelea na safari yao unless wahisi unataka kuwadhuru
Mwisho
Hizo habari za sijui Simba hali mizigo sio za kweli
Habari za kusema sijui uwakazie macho au utoe hofu Simba watakushambulia tu kama wana njaa na wamekuja kwaajili ya kukushambulia
Yanga kawagonga simba hata hawana ujasiri wa kusimama naye!?Unafikiri utapona ukiwaitia Yanga?
Itategemea hao Simba wapo kwenye misheni ganiMkuu umenijibu swali langu vizuri sana nashukuru umenipa mwanga ila tu kuna kitu bado sijakuelewa au labda hujanielewa nimesema mfano sehemu uliyokutana nao ni sehemu ambayo haina nyumba kwamba utakimbilia ndani kujificha, haina mti kwamba unaweza ukaenda kupanda ujinusuru na haina ukuta kwamba utapanda juu, sasa umekutana hawa hapo wewe na wao mnaangaliana unafanyaje hapo ili kujinusuru? Unarudi kinyumenyume?
unataka jibu gani au unalo jibu acha upumbavuMkuu hivi umeelewa swali? Simba wengi mbele yako umekutana nao hawa hapa utawakodolea wangapi na kuwaacha wangapi? Na utawakodolea kwa muda gani? Elewa ni kundi la Simba sio Simba mmoja
Kwanza Sio rahisi Simba kuingia mjini kutokana na nature yao, na ikitokea wameingia wao pia hupoteza confidence kutokana na mazingira mageni hivyo watakimbia kimbia huku wakitafuta maficho na kushambulia wachache lkn mwisho wa siku hata kabla watu WA wanyamapori hawajafika hao Simba wenyewe hujielekeza kwenye mapori na vichakaWakuu, naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kidogo kwenye hili. Naomba kueleweshwa kwa mfano Simba wengi namaanisha wengi wakaamua kutoka MBUGANI kwenye Hifadhi ya Wanyamapori wakaingia mjini watu wataokutana na Simba hao wanatakiwa kufanya nini ili wasidhurike?.
Naomba hili swali nijibiwe na mwenye uelewa nimeona km kuna Simba wengi sana wanaenda kuingia mjini ila sijui ni wapi. Na msiniseme km naumwa au naugua kichaa au nimeonaje. Naomba kwa mtu mwenye uelewa atufafanulie Simba wakiingia mjini watu wanatakiwa kufanya nini?
Namaanisha hivi ukikutana na Simba wengi sehemu ambayo hakuna nyumba hakuna mti hakuna kitu chochote cha kujibanza umekutana na kundi la Simba wengi hili hapa unatakiwa kufanya nini?
In short kutoboa ni asilimia chache sana?Itategemea hao Simba wapo kwenye misheni gani
Je wanakatiza na safari yao au wamekuja kusaka chakula kwa udi na uvumba?
Kama wanakatiza na safari yao unaweza kukimbia unaweza kuwatisha or whatever na wasikudhuru, sana sana wataku avoid na kuendelea na safari yao
Lakini kama wamekuja kuwinda HAKUNA kitu unaweza kuwafanya wasikushambulie mkuu
Hapo inakua ni sawa na ukitumbukizwa maji kina kirefu na hujui kuogele sana sana utatapatapa hadi utakavyokufa
Na kwa Simba walioopo kwenye attacking mode ukikutana nao ni instinct za kibinadamu za kawaida zitakusukuma labda kukumbia, kupiga kelele lakini hakuna utakachoweza kufanya kuwazuia KWASABABU wamekuzidi kila kitu…. Mbio, nguvu, silaha nk nk
Upo sahihi kabisa mkuu yaan uliyaelezea yotee upo sahihi, ila nilichouliza ni kwamba mfano ndio umekutana nao sasa hawa hapa wewe unafanyaje kujiokoa? Unakimbia au unasimama?Kwanza Sio rahisi Simba kuingia mjini kutokana na nature yao, na ikitokea wameingia wao pia hupoteza confidence kutokana na mazingira mageni hivyo watakimbia kimbia huku wakitafuta maficho na kushambulia wachache lkn mwisho wa siku hata kabla watu WA wanyamapori hawajafika hao Simba wenyewe hujielekeza kwenye mapori na vichaka
Hapo ngoja wahusika waje Ila Kwa mwananchi wa kawaida ni mbio zitamuokoa wachache Sana km wamasai ndio wataweza kusimama au kupambanaUpo sahihi kabisa mkuu yaan uliyaelezea yotee upo sahihi, ila nilichouliza ni kwamba mfano ndio umekutana nao sasa hawa hapa wewe unafanyaje kujiokoa? Unakimbia au unasimama?
HUTOBOI Mkuu….. as long as hao Simba wamekuja kuwinda binadamuIn short kutoboa ni asilimia chache sana?