shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,832
- 13,664
Unammwagia maji ya upako au sio??Hapo n kufanya maombi kwa sswatu wa mwamposa tunatoboa hapo
Unammwagia maji ya upako au sio??Hapo n kufanya maombi kwa sswatu wa mwamposa tunatoboa hapo
Mkuu unahisi ukifanya hivi na Simba wapo kundi wewe upo peke yako unahisi unaweza kutoboa kweli hapo?🐅 A. Simba au Chui
Usikimbie. Simba anaweza kukimbia hadi km 80/h.
Simama wima, usipige kelele za hofu, toa sauti nene za amri.
Kuonekana mkubwa zaidi kwa kuinua mikono au shati.
Rudia nyuma hatua kwa hatua, usigeuke na usionyeshe mgongo.
Kama anakukaribia kwa mashambulizi, pigana kwa nguvu zote ukilenga macho au pua.
Mnyama yeyeto kama hauonyeshi hatari ya kumdhuru hana mpango na wwe, thus chui,majoka,simba wengi upishana nao sana maporini bila kujua wanapita kwenye maeneo yao hali walishaonwa na wanyama hao tokea umbali.Mkuu ni swali fikirishi, ndio maana nikasema ni swali fikirishi, yaan fikiri kwanza ndio utoe jibu na usitoe jibu kabla haujafikiri, sawa utawatazama wengine wanakuzunguka nyuma utawatazama kwa muda gani?
Mkuu ndio nataka kueleweshwa huo utaratibu upo mfano imetokea unafanya nini Simba hawa mbele yako unafanya nini wewe km wewe tuseme umekutana nao unafanya nini kujinusuru usife?Watatoa utaratibu wao wenyewe. Ila hicho kitu hakiwezi tokea Tz. Walisharekebisha mifumo tangu wajaribu kutoka ile 64.
zerominus10
Tulia na kodoa macho kwa kujiamini kama ulivyokodoa kwenye profile picture yako huku ukirudi nyuma bila kugeuka nyuma.Mkuu elewa ni kundi la Simba na binadamu upo peke yako umekutana nao hawa hapa unafanya nini?
Mkuu unanijibu vizuri sana kwanza nikupongeze sana kwa kunielewesha ila elewa ni kundi la Simba sio Simba mmoja, utajuaje km hawa Simba wote wameshiba na hawana muda na wewe? Tuzungumzie kundi la Simba sio Simba mmoja mkuuMnyama yeyeto kama hauonyeshi hatari ya kumdhuru hana mpango na wwe, thus chui,majoka,simba wengi upishana nao sana maporini bila kujua wanapita kwenye maeneo yao hali walishaonwa na wanyama hao tokea umbali.
Usianze kumshambulia mnyama kama hajaonyesha nia ya kukudhuru.
Una uhakika nikifanya hivyo au ukifanya hivyo utatoboa au ndio unajitafutia balaa zaidi?Tulia na kodoa macho kwa kujiamini kama ulivyokodoa kwenye profile picture yako huku ukirudi nyuma bila kugeuka nyuma.
Usionyeshe hofu kama mtu aliyefumaniwa.
Hofu yko kifo chako
Kwa Imani unatoboa, Imani ina nguvu kuliko kitu chochote duniani.Mkuu unahisi ukifanya hivi na Simba wapo kundi wewe upo peke yako unahisi unaweza kutoboa kweli hapo?
Unasikiliza amri tu, ikiwa kimya wewe lala chini huku mikono ipo juu tu Mkuu. Ila wakiwa wana njaa pona yako ni ndogo sana.Mkuu ndio nataka kueleweshwa huo utaratibu upo mfano imetokea unafanya nini Simba hawa mbele yako unafanya nini wewe km wewe tuseme umekutana nao unafanya nini kujinusuru usife?
Una unamaanisha ukitumia imani gani ndio utaweza kuwafanya Simba wengi walio kwenye kundi wasikutafune? Elewa ni kundi la Simba sio Simba mmojaKwa Imani unatoboa, Imani ina nguvu kuliko kitu chochote duniani.
Nguvu ya imani Ina click on na subconscious mind ambayo inakulink na nature,asili ndio itapima nguvu ya Imani yako then itaclick kwenye akili ya simba asiwe na maamuzi ya kukudhuru ageuze njia aachane na wewe kwa kukuona sio windo wala sio hatari kwake
Hapo ni Probability hapo pia inategemea na nguvu yako ya Imani kwa hicho unachotaka kufanyaMkuu unanijibu vizuri sana kwanza nikupongeze sana kwa kunielewesha ila elewa ni kundi la Simba sio Simba mmoja, utajuaje km hawa Simba wote wameshiba na hawana muda na wewe? Tuzungumzie kundi la Simba sio Simba mmoja mkuu
Hapo kwenye wakiwa wana njaa sasa wewe utajuaje km hawa Simba niliokutana nao wana njaa nifanye hivi au hawa niliokutana nao leo hawana njaa nifanye hivi unajuaje mkuu?Unasikiliza amri tu, ikiwa kimya wewe lala chini huku mikono ipo juu tu Mkuu. Ila wakiwa wana njaa pona yako ni ndogo sana.