Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,523
- 5,159
Ukweli nimekuwa na tabia ambayo inanipa wakati mgumu sana hasa ninapoenda sehemu harafu ukute wale mama ntilie hapo ndio nakutana na changamoto.
Mimi chakula kama kina mboga ndogo siwezi kabisa kula,yaan roho yangu inasononeka kabisa ukinipa chakula na mboga ndogo.
Hali inayonifanya hata nikienda sehemu harafu niwe na njaa harafu kuwe na vimgahawa vya kawaida yaan hapo lazima nitoe hela nikanunue kuku au samaki nje ya hapo iliniweze kula.
Yaan bora unipe ugali mdogo ila sio mboga,nina ulevi mbaya sana