Nina tatizo gani mimi? Napenda sana kuwa peke yangu

Yani katika wotee mliosema mnapenda kuwa wenyewe tu,hampendi kuongea na watu,mnajifungia ndani sijui mnaona kero kuongea n.k n.k nimeuliza mna watoto au ndoa naona hamna aliye nijibu.
Nimegundua wengi hamna ndoa mpo katika stage za mahusiano ya kawaida tu,wala hamjabahatika kuwa na watoto na kama mnao hamjaweka wazi wala hamna connection ya kihisia yeyote na watoto wenu au mtoto wenu.Believe me hata ukiwa INTROVERT kiasi gani ukiwa na emotional connection au na upendo kwa mwanao...unabadilika kabisa hutopenda eti kuwa mbali naye,kumkwepa wala kumkalia kimya so nafikiri hii tabia wengi mtaiacha mkijaaliwa watoto au mwenza wa ndoa unayempenda kwa dhati.
Wengi mmejisample kama 'ma-jinias' ila sio kwamba kweli mna ujiniasi wowote ila mpo deceptional na kuwa nyie ni high performers tu hata level ya u-genious hamjafikia acheni masihara jamani na hilo neno genious!Kuwa intellectually bright sio kwamba wewe ni genious kwanza katika sample la darasa lolote lazima kuwa na high performers hata katika darasa la watu wenye akili ndogo sana.
All in all nyie ni hiyo ni tabia ya kawaida tu katika stage fulani za maisha na huwa dominant mtu unapokuwa wenyewe.Ila wengine mmezidi uantisocial mpaka mmekaribia kuwa na roho mbaya!
 
Sina mke wala mtoto
Ohoo,kumbe ulinijibu...
usijali ukimpata mtoto,utabadilika tu utapenda kuwa na mtu karibu.Usipobadilika basi ndio tabia yako hiyo,hujawahi kuona watu wapo peka peka mpaka wanajifia wenyewe chumbani kwao hamna anayegundua .
 
mkuu kuwa makini mara nyingi husababishwa na kiwango kikubwa cha msongo wa mawazo.nenda kawaone wsna saikolojia wslip karibu nawe jinsi ya kuepukana na hali hiyo. kifupi unaelekea kwrnye DEPRESSION
 
pole
sana mkuu ila ukipata mchumba mwelewa atkuokoa ktk hilo
 
Utakua genious wewe
 
Nikiwa pekeangu napenda kujisomea vitabu mbalimbali, kuperuzi mtandaoni, kuandika stories na kulala.
Mimi hapo napenda kuperuzi mtandao kuangalia TV na kulala... Pia napenda ngono yaani nikipata Manzi lazima nalambe tatu, napenda sana haiba hii sioni kama ni tatizo
 
Pole sana mkuu, angalia uisje ukawa na ugonjwa wa upweke
 
Kuna jirani yangu alikua natabia kama yako juzi tumemzika aliishia alijinyonga
 
aisee wakuu hata mimi niko hivo hivo sa mimi tatizo kubwa limekuwa kutopata hamu ya kupiga simu kwa watu na ndugu zangu mpaka niwe na shida nao na mara nyingi wananilaumu kuwa siwapigii simu, muda mwingi niko nyumbani nahisi kama ninatatizo; aisee wakuu tusaidieni.
 
Sifa ya kwanza ya genius huwa hawana mambo ya group discussion hapo nakupa √
Tuna hali inayotaka kufanana, sidhani kama ni tatizo hili. Mimi sikumbuki ilianza lini ila tu nilikua nikajikuta hivyo. Sina wasiwasi na hii tabia na sifikirii kuitafutia tiba. Otherwise labda utuambie una dalili za depression mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…