RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Dk ngapi vile kwa mfanoMdanganyeee😂
Kama apigi punyeto na haangalii picha chafu uyo yupo fiti kinoma sema saikorojia yake mbovu tu!!!!!!Shida yako kibwa iko kwenye fikra ulizojenga kwenye akili yako ,umeshaiambia akili unashida na imejenga hiyo hisia pambana na psychology ya akili uliyojijengea kwanza jiamini mkuu.... msaada wa kwanza ni wewe