Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?


Hii ni idea nzuri kwa wenye pesa ila hii biashara mtaani tunatishwa vifo uwa nje nje
 
Labda uibandike picha ya Mwamposa.Kuna shuhuda huko watu wanabandika picha kwenye luku ,mitungi ya gesi ngoma haziishi.
 
Aaah kaka ungeongeza walau laki mbili tungejua tunaizalishaje,ila moja unusu uongo.
Walau ingelikua tatu unusu ingelikua na uwezekano.

Tatu na nusu tunawezaje mkuu nipm
 
Umekula ada eeh
 
Mtaji wa 150,000 uzalishe faida ya 3m... Hapo faida ni 2000% ya mtaji. Tusikupe moyo mkuu, kupata faida ya asilimia afu mbili ngumu ndani ya nusu mwezi
Faida ni 1,900%. Asilimia 2,000 ni pato lake jipya la 3M likianiwahi (with respect to) kianzio cha 150,000.

(3M - 150,000) ÷ 150,000% = 1,900%

^If you want something you've never had, you must be willing to do something you've never done.^ Thomas Jefferson.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…