Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Wana JF hope mko poa. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani Kama unampenda mwanamke na yeye anaonesha kabisa kukuelewa lakini unashindwa kumwambia. Ni mwaka wa tatu toka ni fall in love kwa huyu mtoto ebanaee.
Huwezi amini in all that year nimeshindwa kumwambia kwamba nampenda japo najua anajua kwamba namuhitaji Kama unavyojua ma introvert tongoza yetu ni ya ishara kwahiyo Huwa ni rahisi kueleweka, in short huyu demu anauza duka la nyumbani kwao kwahiyo mi Huwa natumia gia ya kununua baadhi ya vitu ili tu nimuone.
Nahisi hiki chama Cha dronedrake ndio chanzo kikuu
Mbishe nafocus nazo sema mapenzi nayo Yana nafasi yake mkuuMwaka wa 3? Kuna fursa nyingi umezipoteza.
Achana na mapenzi. Focus na mishe zingine
Najitahidi mkuuacha nyeto
Mkuu umenipa point naenda kujaribu nitakupa feedbackKweli maisha yana mambo mengi,umesema huwa unatumia ishara sana,sasa si utumie hizo ishara?
Expert wangu unaniangusha sana,sometime hauhitaji kujipanga kwa maneno sana ya kujieleza,unachohitaji ni neno moja tu lenye uzito wa tani moja ambalo litablow her mind then mengine yatafuatia
maneno kama siwezi kukaa mda mrefu bila kukuwaza, pale nikuanapo tu hujawa na furaha sana
kwakuwa unasema anauza duka mwambie huwa najisikia kuja tu hapa dukani hata kama sina cha kununua ili mradi nikuone
kitachofuatia hapo ni mazungumzo ambayo yatajiseti yenyewe
ila kama ukishindwa kabisa kula nyeto mpaka mgongo upinde
Niko chamani mkuu SEMA najitahidi nimepunguzaKama upo kwenye chama cha dronedrake basi kuna uwezekano mkubwa haujiamini kabisa, usiogope kumueleza mtu hisia zako sio kosa na sio vibaya, vibaya ni kumfosi akubaliane nawe.
Una lack of confidence, jichanganye na jamiiHabari Wana JF hope mko poa. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani Kama unampenda mwanamke na yeye anaonesha kabisa kukuelewa lakini unashindwa kumwambia. Ni mwaka wa tatu toka ni fall in love kwa huyu mtoto ebanaee.
Huwezi amini in all that year nimeshindwa kumwambia kwamba nampenda japo najua anajua kwamba namuhitaji Kama unavyojua ma introvert tongoza yetu ni ya ishara kwahiyo Huwa ni rahisi kueleweka, in short huyu demu anauza duka la nyumbani kwao kwahiyo mi Huwa natumia gia ya kununua baadhi ya vitu ili tu nimuone.
Nahisi hiki chama Cha dronedrake ndio chanzo kikuu
Unafeli wapi...Habari Wana JF hope mko poa. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani Kama unampenda mwanamke na yeye anaonesha kabisa kukuelewa lakini unashindwa kumwambia. Ni mwaka wa tatu toka ni fall in love kwa huyu mtoto ebanaee.
Huwezi amini in all that year nimeshindwa kumwambia kwamba nampenda japo najua anajua kwamba namuhitaji Kama unavyojua ma introvert tongoza yetu ni ya ishara kwahiyo Huwa ni rahisi kueleweka, in short huyu demu anauza duka la nyumbani kwao kwahiyo mi Huwa natumia gia ya kununua baadhi ya vitu ili tu nimuone.
Nahisi hiki chama Cha dronedrake ndio chanzo kikuu
Tafuta hela mkuuHabari Wana JF hope mko poa. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani Kama unampenda mwanamke na yeye anaonesha kabisa kukuelewa lakini unashindwa kumwambia. Ni mwaka wa tatu toka ni fall in love kwa huyu mtoto ebanaee.
Huwezi amini in all that year nimeshindwa kumwambia kwamba nampenda japo najua anajua kwamba namuhitaji Kama unavyojua ma introvert tongoza yetu ni ya ishara kwahiyo Huwa ni rahisi kueleweka, in short huyu demu anauza duka la nyumbani kwao kwahiyo mi Huwa natumia gia ya kununua baadhi ya vitu ili tu nimuone.
Nahisi hiki chama Cha dronedrake ndio chanzo kikuu
SEMA mkuu inabidi nikufuate pm una madini ya congoUnafeli wapi...
Tafuta namba yake ya simu kama unayo ni poa zaidi...
Kisha mtongoze kama ifuatavyo...
Wewe: Mambo ?
Yeye: poa tu nani? (Hapo tufanye hana namba yako)
Wewe: mi intro...
Yeye: oh sawa nambie..
Wewe: fresh tu Sara (tuna assume tu anaitwa hivo) Kuna kitu nataka kukuliza sorry kama ntakukera..
Yeye: poa tu uliza..
Wewe: hivi kwann unanichukia sana?..
Yeye: Mimi nakuchukia ? Kwann unasema hivo?
Wewe: ukiniona unanuna sijui nimekukosea nn?
Yeye: hapana bana hisia zako tu... Mi sikuchukii
Wewe: kweli?
Yeye: ndio..
Wewe: siamini eti tunaweza kutana mahali nione kama unaweza tabasamu hata kidogo..
Yeye: mh una nn lakini?
Wewe: nataka tu kudhibitisha maana Kila saa nakosa Raha kwa ajili yako!..
.
.
.
Yeye: usijali bana hata mi nakuelewa sema tu we ndo hua unanikaushia
Wewe: basi kesho tukutane sehemu kwa mazungumzo zaidi..
Yeye: poa utanipanga..
Wewe: sawa nimefurahi.. good night my best
Yeye: kwako pia
.
.
Ukishindwa na hapo ndo basi tena [emoji856][emoji3][emoji1787]
Nalifanyia kazi SEMA chama la dronedrake ndio chanzo najuta kujiungaUna lack of confidence, jichanganye na jamii
Kama ni wewe utakubaliMwambie ukifunga duka karibu nyumbani unifundishe kupika pilau🥲🥲akifika mwambie humu joto sana punguza blauzi...ataelewa
Kwahiyo mwamba unapanda mnazi kwa mkono mmoja au sioNalifanyia kazi SEMA chama la dronedrake ndio chanzo najuta kujiunga
Hahahah kawaida mwanangu mwanamke ukitaka kumpata mafanye kwanza ajihisi ana hatia juu yakoSEMA mkuu inabidi nikufuate pm una madini ya congo
Ndio mkuu ila Nina mwezi wa pili sijapanda ndo kidogo naanza kujishtukiaKwahiyo mwamba unapanda mnazi kwa mkono mmoja au sio