Nina uhakika kila mmoja wetu hapa akiihoji na kuichunguza dini yake kwa kutumia akili yake binafsi mtambuka hakuna ataebaki kuwa mhanga wa doctrines

Haha
 
Hakika
 
Mungu alimuumba mwanadamu kama kiumbe kinachoabudu.Usipomwabudu Mungu utaiabudu Mungu Mingine na mashetani.Hata babu zetu walikuwa wakiamini kuna nguvu super natural.Walikuwa wakiporwa kitu wanasema Mungu yupo.Kwa Taarifa Imani za jadi zina waumini wengi Kuliko Imani za Mashariki ya Kati.Kuna wakristo na waislam wengi Huenda Kwa hizi Imani.Imani za jadi hazina Majengo maalum wala Vitabu.Ila zipo.Siku umemwelewa Mungu Katika level za intelect na logic huyo hawi Mungu tena.Dini ni ngazi ya kuanza kumwelewa Mungu.Anzia hapo.Mleta Uzi unamwelezaje Mtu kwamba Nuhu aliunda safina,kisha baada ya gharika akalewa mvinyo na kukaa uchi?
Yesu alipokuja aliwakuta watu Wana dini na madhehebu.Akawafundisha level nyingine Kabisa ya kumfikia Mungu.Hamwezi kuwa mnamwabudu Mungu bila kuwa organized:na mkishajiorganize mnatengeneza Mfumo.Kwene Mifumo ndiyo zinakuja dogmas.Sasa jifunze kutenganisha Imani, Mifumo,watu,Mungu na Wewe binafsi.Kusustain Mifumo kuna gharama.Sema kila anayelaumu dini ni Kwa kuwa anakimbia gharama.Mtu huyo kama shabiki wa Chama au timu au Club haoni shida kuchangia gharama.Lakini shida inakuja Kwa Mambo ya kidogo.Shida kubwa Waafrika hatuko sincere na Jambo lolote.Mwafrika hata akienda Kwa Mganga wa jadi anaona kaonewa akiambiwa leta Mbuzi au Kuku.Anataka ahudumiwe bila gharama.Vilio vingi dhidi ya dini ni Njia za Kuepuka uwajibikaji.Tunataka dini ila tusiwajibike.We want religion without sacrifice.
 
Sasa kwanini mtume adanganye zimeshushwa wakati ni Hadith zilizokuepo kuhusu yesu mbona kwenye ukristo iko wazi Kuna agano jipya na la kale na ukristo uko wazi mwasisi wake ni yesu kristo.
Ukrisito haukuhasisiwa na yesu bali ulihasisiwa na Paulo.
 
Ukrisito ndio dini iliyo sambazwa kwa mbinu za kihovu kuanzia mauaji ,ukoloni na uporaji kuliko dini yeyote ulimwenguni.
Sema ww ni kilaza hujui hata history ya kusambaa kwa dini yako zaidi ya kukalilishwa na nabii wako uchwara.
 
Mimi ni mkristu mkatoliki tena ex seminarian lakini kuna mambo nikiyatafakari naona kabisa ni ya kipuuzi na hayana tija yoyote.
 
Ukichunguza wengi wanaopinga kuhusu uwepo wa Mungu utagundua huko nyuma walikuwa ni wakristo. Ni nadra sana kumkuta muislamu abadilike kuwa Atheist.

Hii inazidi kuthibitisha kuwa uislamu ndio dini ya kweli.
Hakuna dini ina misingi dhaifu kama uislam,muulize atheist yeyote atakwambia.

Kitu usichokijua ni kwamba baada ya wao kuacha ukristo huwa wanatafiti kuhusu uislam pia,kwa kutumia hints zile zile wanagundua uislam ndio takataka kabisa.

Mfano mtu ukiulizwa una uhakika gani Muhammad alikutana na malaika pale pangoni unajibuje???sasa kuhoji swali hili ktk uislam ni kharam kabisa,muislam haruhusiwi maana ndipo akili yake itaanza kuacha imani.
 
Ukichunguza wengi wanaopinga kuhusu uwepo wa Mungu utagundua huko nyuma walikuwa ni wakristo. Ni nadra sana kumkuta muislamu abadilike kuwa Atheist.

Hii inazidi kuthibitisha kuwa uislamu ndio dini ya kweli.
Inathibitisha kuwa uislamu ni dini ya vitisho vingi na labda unaongelea wanaume coz dini ni ya wanaume so huwezi Toka kama unaweza oa mtoto wa miaka 6 na wake wanne why utoke...ila uliza wanachopitia wanawake huko middle east afu uniambie why wanatoroka na kwenda ulaya
 
Ukichunguza wengi wanaopinga kuhusu uwepo wa Mungu utagundua huko nyuma walikuwa ni wakristo. Ni nadra sana kumkuta muislamu abadilike kuwa Atheist.

Hii inazidi kuthibitisha kuwa uislamu ndio dini ya kweli.
Dini ya kweli ipo ndani ya mtu mwenyewe. Hamna ukristo, uislam, ubudha, etc
 
Usiniambie historia wakati mpaka sasa hivi kinachotokea huko Boko Haram Nigeria, hata hapa Msumbiji kwa majirani zetu unakiona kuhusu hiyo dini yako ya kisheitwani


Acheni watu waishi kwa amani pasi na kujivika majukumu ya Kiungu kuhukumu
 
Mungu up
Mungu upo ila dini au mbinu tunazotumia kuwasiliana nae nina mashaka nazo
 
Mungu up
Mungu upo ila dini au mbinu tunazotumia kuwasiliana nae nina mashaka nazo
 
Mungu up
Mungu upo ila dini au mbinu tunazotumia kuwasiliana nae nina mashaka nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…