I can prove to myself that GOD exist but not to anybody else.....Then prove his existence.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I can prove to myself that GOD exist but not to anybody else.....Then prove his existence.
HahaHili swali alishalijibu "Antony Szandor larvey " alikuwa mkatoliki na mpiga organ kanisani ila siku za wiki alikuwa na kawaida ya kujiingizia kipato kupitia kupiga piano kwenye carnivals mbali mbali ujerumani .
Kilichomshangaza ni kwamba jumapili alikuwa akiona watu wengi sana wakiends kutubia/kuungama kutokana na dhambi mbali mbali Walizozifanya ndani ya wiki ila watu hao hao wiki iliyofuata alikuwa akiwaona kwenye carnival wakirudia madhambi yale yale .
Jamaa akafikia hitimisho la kuunda dini ambayo itampatia mtu uhuru na pia kufanya yale yoote yanayochukuliwa kama madhambi bila ya kuwa na hofu ya kuadhibiwa siku ya mwisho ndiyo akaja na SATANISM .
HakikaKila mtu alizaliwa Atheist bila imani ya aina yeyote ile. Hata wewe ulizaliwa Atheist bila imani ya aina yeyote ile.
Mpaka pale ulipo aminishwa na kukaririshwa hiyo imani ya dini yako unayo jifanya kuitetea.
Hata wewe unayejidai hapa kwamba Uislamu ndio dini ya kweli, Ungezaliwa kwenye familia ya kikristo na kuaminishwa Ukristo tangu utotoni mwako,
Leo hii ungekuwa unapinga uislamu na kusema ukristo ndio dini ya kweli.
Hivyo hoja yako ya kusema kwamba Atheists wengi ni wakristo na kwa hivyo huo ndio uthibitisho wa ukweli wa dini ya kiislamu, Ni kufanya Logical non sequitur.
Unaunganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.
Ukrisito haukuhasisiwa na yesu bali ulihasisiwa na Paulo.Sasa kwanini mtume adanganye zimeshushwa wakati ni Hadith zilizokuepo kuhusu yesu mbona kwenye ukristo iko wazi Kuna agano jipya na la kale na ukristo uko wazi mwasisi wake ni yesu kristo.
Na Paulo alitumwa na Nani?Ukrisito haukuhasisiwa na yesu bali ulihasisiwa na Paulo.
Ukrisito ndio dini iliyo sambazwa kwa mbinu za kihovu kuanzia mauaji ,ukoloni na uporaji kuliko dini yeyote ulimwenguni.Mkuu hiki kichekesho unabonyeza ngapi hivi kukipata
Ogopa sana Dini ambayo inatumia mtutu kusambaa kwa nguvu na maguvu
Ukristo ni imani ambayo hulazimishwi wala hautaona mtu analazimishwa kuuwawa ili aingie, ni neno tu na maandiko ambayo unasoma ukiwa huko uliko ila mwenyewe utakiri ya kuwa Kristo ni Bwana na Mwokozi
Mimi ni mkristu mkatoliki tena ex seminarian lakini kuna mambo nikiyatafakari naona kabisa ni ya kipuuzi na hayana tija yoyote.Sisi ni nani, Kwanini tuwe sisi, Kwanini tuwe kama wao.
Hivi kiundani ushajiuliza imekukuaje umekuwa wa dini hio? Kwa nini uamini kirahisi rahisi juu ya stori zao ambazo muda mwingine akili yako inazipa red flags (alerts) kwa maana ni somewhat controversial?
Unaweza kuta kweli njia wanayooiongelea ni sahihi ila wanaitumia kama technique ya kukufanya kuwa sehemu ya genge lao.
Nini dhumuni la genge lao, kumiliki dunia? Kuwatumia watu kuwa jeshi kupigania chuki zao dhidi ya kundi lingine?
Kwanini wawe tena tofauti, kama ni watoto wa muumbaji mmoja kwa nini wachukiane.
Sisi ni product ya itikadi zao, wengine walikuwa sociopaths, wengine psychopath , wengine walikuwa wapenda vita(war mongers), wengine walikuwa ni taifa katili,
Ila leo ndio tumeamua kuwa ndio wawe mashujaa wetu huku tukijietengenezea hofu kuwa tuki wa-criticize tutalaanika.
THINK, THINK AGAIN.
Kwa hiyo mwamposa alitumwa na nani akaanzisha kanisa?Na Paulo alitumwa na Nani?
Hakuna dini ina misingi dhaifu kama uislam,muulize atheist yeyote atakwambia.Ukichunguza wengi wanaopinga kuhusu uwepo wa Mungu utagundua huko nyuma walikuwa ni wakristo. Ni nadra sana kumkuta muislamu abadilike kuwa Atheist.
Hii inazidi kuthibitisha kuwa uislamu ndio dini ya kweli.
Inathibitisha kuwa uislamu ni dini ya vitisho vingi na labda unaongelea wanaume coz dini ni ya wanaume so huwezi Toka kama unaweza oa mtoto wa miaka 6 na wake wanne why utoke...ila uliza wanachopitia wanawake huko middle east afu uniambie why wanatoroka na kwenda ulayaUkichunguza wengi wanaopinga kuhusu uwepo wa Mungu utagundua huko nyuma walikuwa ni wakristo. Ni nadra sana kumkuta muislamu abadilike kuwa Atheist.
Hii inazidi kuthibitisha kuwa uislamu ndio dini ya kweli.
Dini ya kweli ipo ndani ya mtu mwenyewe. Hamna ukristo, uislam, ubudha, etcUkichunguza wengi wanaopinga kuhusu uwepo wa Mungu utagundua huko nyuma walikuwa ni wakristo. Ni nadra sana kumkuta muislamu abadilike kuwa Atheist.
Hii inazidi kuthibitisha kuwa uislamu ndio dini ya kweli.
Got the context though?Haha
Mungu upo ila dini au mbinu tunazotumia kuwasiliana nae nina mashaka nazoSisi ni nani, Kwanini tuwe sisi, Kwanini tuwe kama wao.