Jeep rubicon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2023
- 737
- 1,446
You sound negative mkuu lakin.maisha yana mengi.yakufurahia.Bora liwe tatizo lenye suluhu ata kama gharama yake ni kubwa ila mimi ni maisha, namaanisha hadi nitakapotoweka hapa duniani 🤧🤧🤧
Carlos The Jackal Herbalist Dr MziziMkavu toeni msaada kwa mdau hapa.Ni muda mwingine najitokeza kuomba msaada, ushauli na mawazo kutoka kwa madaktari, wataalamu wa afya au mzoefu wa hili tatizo.
Ni baada ya kufanyiwa upasuaji (operation) ya kuondoa korodani zenye kansa na kubakia bila korodani ndipo tatizo lilipoanzia.
Nikakosa nguvu za kufanya kazi kwa muda mrefu,kupungua umakini wangu,kuwa mtu wa msongo wa mawazo kwa muda mrefu,kupoteza uwezo wa kufanya mapenzi na kupungua kwa mwili (kudhoofu mwili).
Nilirudi kumuona daktari akanieleza nina (Low testosterone (male hypogonadism) akanipatia dawa ya kuchoma kila mwezi ila inachosha, nimesikia ipo ya kupaka (gels) na vidonge (capsules).
Nimeipenda ya kupaka yaani Gel TRT au Cream,sasa je nitaipata wapi pale hospital hawa dawa hiyo msaada tafadhari....
Hakika wewe ni kiumbe wa ajabu.Jitibu mwenyewe sasa. Au tengeneza dawa yako ya kupaka. We ukienda kwa wale mabwana wasikilize wanavokushauri sio unaleta masharti kabla. Ungekuwa unaijua hiyo dawa ya kupaka si ungenunua tu ujipake?
Nahisi 4 kwa mwaka ni kawaida..hata kama zinauma ufate ushauri wa lovie lady...pole ..uwe imara😊Asante, ila ninapotumia sindano ni maisha yangu yote, hakuna kupona ujanani hadi uzee ni sindano tu
Haya maswali yanaleta maumivu kwa Muulizwaji sio vizuri..wengi wenye hizi cases hua hawazidii dk 3 na kurudia tendo round hua haiwezekani 🤦🙏Mkuu unasex kwa dk ngap unafika mshindo
Yalikuwa ni maumivu kwenye korodani nikaenda kupiga video (Ultrasound) yaliyofuatia nikawaachia madaktari. hadi hivi sasa nimeamua kuwashirikishaPole sana.
Natumai utapata hapa majibu yakakayo kusaidia au kukupa meanga.
Nina swali.
Je unaweza kutuambia ni dalili gani ulianza kuzihisi kwenye korodani na mwili wako kabla hujathibitika kuwa na Cancer.
Kwanza naamini mkeo amejua kuishi na tatizo hilo.Samahani mkuu, unaweza kuyataja hayo mengine nje ya mwanaume kutoka na familia yenye furaha kuzunguka kuona maajabu ya dunia
laiti ningepata dawa inayodumu mwilini kwa muda mrefu ningefurahi sana, maana mwili unachoka sana, nimedhoofu, yaani naweza kushinda ndani wiki nzima kula na kulala ila bado nikasikia uchovu wa mwili kama vile nimebeba mizigo mizito mno.Haya maswali yanaleta maumivu kwa Muulizwaji sio vizuri..wengi wenye hizi cases hua hawazidii dk 3 na kurudia tendo round hua haiwezekani 🤦🙏
Ata ivyo starehe sio sex tu..usiwe mnyonge utapata nafuu Mkuu Nihilist
Kama watu wa kisukari tu.Hapana, ni sindano moja kila baada ya wiki mbili yaani kwa mwezi sindano mbili.
12×2=24 kwa mwaka, Ndani ya miaka yote hapa duniani
Sio mbaya..kuna watu wana magumu zaidi ya hayo...kubali tu ....be positiveHapana, ni sindano moja kila baada ya wiki mbili yaani kwa mwezi sindano mbili.
12×2=24 kwa mwaka, Ndani ya miaka yote hapa duniani
perkyNa inakuaje mfano mtu akipata ngiri anaweza kuzalisha?
Mrs Lissu MWENYEZI MUNGU atunusuru kwa mitihani mizito hatuiweziNahisi 4 kwa mwaka ni kawaida..hata kama zinauma ufate ushauri wa lovie lady...pole ..uwe imara😊
Hii issue ni nzito Kiongozi usiifananishe na Kisukari ata theluthi ila atapona..naomba tuwe sehem ya faraja na nguvu kwake🙏Kama watu wa kisukari tu.
Be positive
🥰🙏Sio mbaya..kuna watu wana magumu zaidi ya hayo...kubali tu ....be positive
Nihilistlaiti ningepata dawa inayodumu mwilini kwa muda mrefu ningefurahi sana, maana mwili unachoka sana, nimedhoofu, yaani naweza kushinda ndani wiki nzima kula na kulala ila bado nikasikia uchovu wa mwili kama vile nimebeba mizigo mizito mno.
Mbona unakuwa kama mtu wa stendi? Akikuambia ana sh mia mbili utatuma?Mkuu
Una bei gani nikuletee capsule dhl? Ninazo hapa situmii na pia naweza kukuagizia kiasi chochote unachotaka