Nina upungufu wa homoni ya Testosterone, low testosterone au male hypogonadism nitapata wapi dawa ya kupaka?

Acha kumfokea Mgonjwa please..kua na huruma basi na weka maneno ya faraja kwake..hujafa hujaumbika Kiongozi hatuijui kesho yetu🤦
Achana na hilo lishetani. Mijitu mingine imejaza kamasi kichwani. Mtu anapitia changamoto halafu watu wengine wanakuja na kejeli za kijinga kabisa.
 
Manii haizalishwi na korodani. Korodani inazalisha mbegu tu.
 
Pole sana.

Natumai utapata hapa majibu yakakayo kusaidia au kukupa meanga.

Nina swali.

Je unaweza kutuambia ni dalili gani ulianza kuzihisi kwenye korodani na mwili wako kabla hujathibitika kuwa na Cancer.
GenuineMan

Dalili zake ni nyingi miongoni mwake ni hizi
👇👇👇

  1. Kupoteza nguvu 😔
  2. Massive brain fog (trouble finding the right words when speaking also)sometimes ni ngumu kupata Kiswahili fasaha cha neno tuvumiliane
  3. No motivation kwenye sex
  4. Constantly tired mda wote
  5. No appetite
  6. Libido gone
  7. Too much sleep without feeling rested na mwili kuisha nguvu
  8. Mental health sucked🤦🧠
  9. Hard in breathing yaan kama mwenye tatizo la Moyo😔
  10. Korodani kuuma😔
  11. Korodani kuwasha😔
 
Bora liwe tatizo lenye suluhu ata kama gharama yake ni kubwa ila mimi ni maisha, namaanisha hadi nitakapotoweka hapa duniani 🤧🤧🤧
Pole sana mkuu. Ila ujue kuna watu wenye changamoto kuliko yako mara mia. Maisha yako yatakuwa vizuri. Kubaliana na hali na ukikaa vizuri tafuta mtoto/watoto u-adopt. Watu wanao-adopt watoto ni wengi sana, Sijui uko wapi lakini Ulaya na nchi zilizoendelea ni jambo la kawaida kabisa.
 
Mwanamke nilimueleza akakubali, lakini naona kama vile namuonea yaani chini ya dakika mbili mtoto wa watu anavaa na kubakia kanyong'onyea hadi huruma,imefikia kipindi nataka kutumia vile vidonge vya kuongeza nguvu za kusimamisha mnara ila naona nitakuwa addicted...
 
NO, It doesn't sound crazy because the reality must be taught....Asante sana
 
Kwa binadamu ipo tofauti na ng'ombe maksai, unaweza tafuta maarifa ata mitandaoni (umuhimu wa korodani) utaelewa zaidi
 
Sorry mkuu ukiacha operation ni njia gani nyengine ingetumika ikiwa madaktari wame confirm kwamba ana dalili za testicular Ca

Which injections zingemsaidia kumtibu naomba kufahamu
 
Sorry mkuu ukiacha operation ni njia gani nyengine ingetumika ikiwa madaktari wame confirm kwamba ana dalili za testicular Ca

Which injections zingemsaidia kumtibu naomba kufahamu
halloperidon Sorry Mkuu narrate well your Question 🙋‍♀️ 🙋‍♀️🙋‍♀️ili nikikujibu na wengine wanufaike😊

Your diagnosed with Testicular Cancer ♋️ or what? Usiweke vifupisho andika neno sahihi kama lilivyo 😊🙏
 
Nihilist Asante kwa kunielewa..dont try to use anything kuhusiana na sex energies sijui vidonge vya kuongeza nguvu za kiume..yaan don’t dare kama unahitaji kuendelea kupumua😊🙏🙏🙏
Kuhusu sex siwezi lazimisha ila vipi kuhusu nguvu ya kufanya kazi.?. maana mimi kutwa nzima nimechoka ata kama nipo kitandani morning to evening...
 
Testestone si zinazalishwa na korodani.

Sasa zitazilishwa vipi
 
Daaah, yaani umetaja matatizo yote niliyonayo yaani kama vile unaniona, yaani imefikia kipindi natamani nizaliwe upya ili nipate mwili mpya
 
Suala la mimi kupata mtoto mbona silipi kipaumbele sana, Shida ni mwili wangu kwanza, nitaponaje walau kwa muda (artificially).?
 
Mimi niulize swali hapohapo.

Hivi wakati wa mshindo kwenye tendo, kutoa bao jingi/shahawa nyingi almost robo kikombe na nzito haijalishi ni bao la 1 au la 3 mfululuzo ni tatizo??

maana daah[emoji23] huwa natoa mabao mazito zito mpka wadada wanalalamikaga kwamba nakulaga nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…