Nina uzito wa kilo 79, Nimekula nyama kilo moja na robo na ugali kisha nikapima uzito bado ni uleule kilo 79: Kwanini?

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Hii imekaaje wataalam!

Jana nilitengeneza kitoweo cha ugali na nyama kilo moja na robo!
Kabla ya kuanza kula nilipima uzito wangu ikasomeka Nina Kilo 79!

Nikaandaa nyama fresh na ka-ugali kadogodogo,
kabla ya kula, nikasimama na sinia langu la chakula kwenye mzani kilo zikasoma 81, ( maanake kulikuwa na ongezeko la uzito wa sinia na ile nyama kilo moja na robo na ugali jumla ikawa kilo 2)

Baada ya kula chakula chote, nikaamua kupima tena kwenye mzani uleule zikasoma kilo zangu zilezile za mwanzo kabla ya kula 79kg!

Tukiashumu robo kilo iwe imepotea kwa vimfupa vidogo dogo n.k, Je, Kwanini kilo hazijaongezeka? Wakati tumboni Nilikula kilo moja ya nyama, na ugali, na kachumbari na maji? Na mzani ni uleule?

Naomba ufafanuzi juu ya hili!
 
Hapa ngoja tuwasubiri wataalamu wa kitengo cha mizani kutoka TANROADS watakuja na majibu
 
Hii imekaaje wataalam!

Jana nilitengeneza kitoweo cha ugali na nyama kilo moja na robo!
Kabla ya kuanza kula nilipima uzito wangu ikasomeka Nina Kilo 79!

Nikaandaa nyama fresh na ka-ugali kadogodogo,
kabla ya kula, nikasimama na sinia langu la chakula kwenye mzani kilo zikasoma 81, ( maanake kulikuwa na ongezeko la uzito wa sinia na ile nyama kilo moja na robo na ugali jumla ikawa kilo 2)

Baada ya kula chakula chote, nikaamua kupima tena kwenye mzani uleule zikasoma kilo zangu zilezile za mwanzo kabla ya kula 79kg!

Tukiashumu robo kilo iwe imepotea kwa vimfupa vidogo dogo n.k, Je, Kwanini kilo hazijaongezeka? Wakati tumboni Nilikula kilo moja ya nyama, na ugali, na kachumbari na maji? Na mzani ni uleule?

Naomba ufafanuzi juu ya hili!

Huo mzani umekufanyia figisu kama CCM ilivyovifanyia vyama vya upinzani figisu katika uchaguzi mkuu uliopita. --- wewe deal na huo mzani tu kwani huyo ndiye mchawi wako.
 
Naamini lile sinia ulilokuwa umeweka ugali hukulila!
Nenda ukamalizie kulila ndio upime tena, utakuta ongezeko!
Halafu pia sababu nyingine ni kwamba hukula ugali bali kaugali kadogo, zipo sababu nyingine kama kunywa maji, badala yake ulipaswa unywe walao gongo glass mbili au bia sita!
Vile vile hiyo nyama hujasema ilikuwa ya mnyama gani, kutoka sehemu gani ya mwili wake, ungesema ungepata ufafanuzi zaidi wa kitaalam!
Hapo factor nyingine zimebaki constant, kama kula kachumbari, uliiweka pilipili kweli?
 
Naamini lile sinia ulilokuwa umeweka ugali hukulila!
Nenda ukamalizie kulila ndio upime tena, utakuta ongezeko!
Halafu pia sababu nyingine ni kwamba hukula ugali bali kaugali kadogo, zipo sababu nyingine kama kunywa maji, badala yake ulipaswa unywe walao gongo glass mbili au bia sita!
Vile vile hiyo nyama hujasema ilikuwa ya mnyama gani, kutoka sehemu gani ya mwili wake, ungesema ungepata ufafanuzi zaidi wa kitaalam!
Hapo factor nyingine zimebaki constant!
Una maanisha kilo ya nyama ya ng'ombe ni tofauti na kilo ya mbuzi?
 
Fafanua kidogo mtaalam nahisi kuelewa kwa mbaaali sana
Kama mzani wako una accuracy ya 500g kwa mfano, ukisoma 79kg maana yake unaweza ukawa na uzito halisi kati ya 78.5 mpaka 79.5. Kwahiyo kama baada ya kula mzani haukuongezeka ujue ulikuwa within range ya accuracy ya mzani.

Jaribu kunywa lita nzima ya maji. Uzito unatakiwa kuongezeka kilo 1 nzima
 
Kuna watu nahisi hata mkijamba peke enu huwa mnailaumu CCM kimoyo moyo!

Sio kujamba tu hata kuharisha lazima ninyi "nyinyiem" (not sisiem) mlaumiwe.

Nakwambiaje, huo mzani umeiba uzito wako jinsi nyinyiem ilivyoiba kura. Pambana na huo mzani kwa wizi wa uzito wako au unatudanganya hukula nyama kilo moja na ugali ???
 
Kama mzani wako una accuracy ya 500g kwa mfano, ukisoma 79kg maana yake unaweza ukawa na uzito halisi kati ya 78.5 mpaka 79.5. Kwahiyo kama baada ya kula mzani haukuongezeka ujue ulikuwa within range ya accuracy ya mzani.

Jaribu kunywa lita nzima ya maji. Uzito unatakiwa kuongezeka kilo 1 nzima
Mzani unaoweza kupima hadi uzito wa kilo moja na robo (1250g)
Inawezekanaje kuwa na accuracy ya 500g yaani nusu kilo nzima isionekane?
Maanake kama ina accuracy ya hivi, kitu cha robo kilo ukipima kisingeonekana

Anyway naendelea kujifunza
 
Huo mzani umekufanyia figisu kama CCM ilivyovifanyia vyama vya upinzani figisu katika uchaguzi mkuu uliopita. --- wewe deal na huo mzani tu kwani huyo ndiye mchawi wako.
Mzani umekuwa kama Tume ya uchaguzi ya Tanzania. Huo mzani kakupa Mahera ? Mrudishie.
Hii imekaaje wataalam!

Jana nilitengeneza kitoweo cha ugali na nyama kilo moja na robo!
Kabla ya kuanza kula nilipima uzito wangu ikasomeka Nina Kilo 79!

Nikaandaa nyama fresh na ka-ugali kadogodogo,
kabla ya kula, nikasimama na sinia langu la chakula kwenye mzani kilo zikasoma 81, ( maanake kulikuwa na ongezeko la uzito wa sinia na ile nyama kilo moja na robo na ugali jumla ikawa kilo 2)

Baada ya kula chakula chote, nikaamua kupima tena kwenye mzani uleule zikasoma kilo zangu zilezile za mwanzo kabla ya kula 79kg!

Tukiashumu robo kilo iwe imepotea kwa vimfupa vidogo dogo n.k, Je, Kwanini kilo hazijaongezeka? Wakati tumboni Nilikula kilo moja ya nyama, na ugali, na kachumbari na maji? Na mzani ni uleule?

Naomba ufafanuzi juu ya hili!
Huo mzani ni kama Tume ya uchaguzi ya Tanzania. Umekuibia uzito wako halali.
 
Huo mzani umekufanyia figisu kama CCM ilivyovifanyia vyama vya upinzani figisu katika uchaguzi mkuu uliopita. --- wewe deal na huo mzani tu kwani huyo ndiye mchawi wako.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hiyo inaonesha ni kweli ushirikina upo. Ili upate uzito wako fanya hivi;
1. Wakati unapima jichekeshe chekeshe au
2. Wakati unapima piga kelele kama unang'atwa na nyuki hivi.
 
Back
Top Bottom