Hii imekaaje wataalam!
Jana nilitengeneza kitoweo cha ugali na nyama kilo moja na robo!
Kabla ya kuanza kula nilipima uzito wangu ikasomeka Nina Kilo 79!
Nikaandaa nyama fresh na ka-ugali kadogodogo,
kabla ya kula, nikasimama na sinia langu la chakula kwenye mzani kilo zikasoma 81, ( maanake kulikuwa na ongezeko la uzito wa sinia na ile nyama kilo moja na robo na ugali jumla ikawa kilo 2)
Baada ya kula chakula chote, nikaamua kupima tena kwenye mzani uleule zikasoma kilo zangu zilezile za mwanzo kabla ya kula 79kg!
Tukiashumu robo kilo iwe imepotea kwa vimfupa vidogo dogo n.k, Je, Kwanini kilo hazijaongezeka? Wakati tumboni Nilikula kilo moja ya nyama, na ugali, na kachumbari na maji? Na mzani ni uleule?
Naomba ufafanuzi juu ya hili!