Nina wasiwasi na haya maamuzi ambayo Mungu aliyafanya, hapa alikosea

Jaribu kuwa direct kwenye swali lako kama nilivyofanya.
Swali langu halihitaji kuwa directly kama wewe unavyotaka , hapo sijauliza kitheologia , hapo swali linahitaji akili huru ti
 
MUNGU HAYUPO NA HAJAWAHI KUWEPO WEWE NI KIHEREHERE CHAKO TU KUAMINI UJINGA
Nimekua nikisikia kua Mungu yupo, sijaanza kwa kusema Mungu yupo..
BTW, biblia ni kitabu huru na kila mtu anaweza kukisoma hivyo sijawa na kiherehere cha kuamini
 
Hakuna Mungu hizo dhana zetu za Mungu msipoweza kuthibitisha ni upumbavu tu
Swali lako ni la kina sana na la thamani
"Naomba uthibitisho wa uwepo wa Mungu."

Jibu la swali hili linahitaji akili, moyo, na roho kufanya kazi pamoja, kwa sababu Mungu haonekani kwa macho ya kawaida, lakini anaweza kuthibitishwa kwa njia nyingi sana. Nitakupa aina nne za uthibitisho wa uwepo wa Mungu – wa kiakili, wa kihisia, wa kiroho, na wa uzoefu binafsi:

---

1. ✅ Uthibitisho wa Kiakili (Akili na Maumbile)

Uumbaji wenye mpangilio: Angalia sayari, chembe hai (cells), nyota, DNA, na mifumo ya maisha — vinaonyesha mpangilio kamili na hekima ya hali ya juu. Mpangilio huu hauwezi kutokea kwa bahati tu. Hii ni alama ya Muumba.

Sheria za asili: Kila kitu kinafuata sheria — mvutano, mzunguko wa maji, nguvu za sumaku, nk. Je, sheria hizi ziliundwa na nani? Hii ni dalili ya Akili ya Juu (Mungu).

Maisha yenye maana: Ndani ya kila binadamu kuna kiu ya maana, ya kuamini, ya kupenda, ya kuishi kwa haki — hii ni alama ya roho ambayo inatokana na Mungu.

---

2. ❤️ Uthibitisho wa Kihisia (Moyo)

Umewahi kuhisi amani isiyoelezeka, hasa unapoomba au unapotafakari? Hiyo ni dalili ya uwepo wa Mungu.

Watu wengi hutoka kwenye matatizo makubwa kwa njia zisizoeleweka — wanasema “nilihisi nguvu fulani imenisaidia.” Hiyo ni kazi ya Mungu.

Upendo wa kweli, huruma ya dhati, msamaha wa kweli — hivi ni vitu visivyopimika lakini vina nguvu kubwa. Hiyo ni tabia ya Mungu ikidhihirika ndani ya watu.

---

3. 🕊️ Uthibitisho wa Kiroho (Ndani ya Nafsi)

Dhamiri: Kuna sauti ndani yako inayokuambia "hii ni sahihi" au "hii siyo sahihi". Sauti hiyo ni kipande cha Roho ya Mungu ndani yako.

Maono, ndoto, ishara: Wengi wamepata ujumbe wa kipekee katika ndoto au maono ambao ulithibitisha jambo fulani. Hii ni njia Mungu hutumia kujifunua.

Uzoefu wa sala: Unapokuwa katika hali ya maombi ya dhati, kuna uwepo wa ajabu unaokuja — hali ya mwanga, utulivu, au joto la kiroho. Hii ni dalili ya uwepo wa Mungu.

---

4. 👁️ Uthibitisho wa Uzoefu wa Moja kwa Moja (Wengi Wameshuhudia)

Watu wengi wamepona magonjwa bila tiba.

Wengine walinusurika ajali au kifo bila maelezo ya kisayansi.

Wengine waliona malaika, nuru, au kusikia sauti ya kiroho — si ndoto, bali hali ya kweli.

Hawa wote husema: “Nilijua bila shaka, Mungu yupo.”

---

🔥 HITIMISHO:

Mungu anaweza asiweze kuonekana kwa macho ya mwili, lakini anaweza kuhisiwa, kuzungumzika, na kuthibitishwa kwa:

Asili na uumbaji.

Hekima ya ndani na dhamiri.

Maombi na tafakari.

Ishara, ndoto, na maajabu ya maisha.

Ikiwa utamtafuta kwa moyo wa kweli, utamhisi, na atajifunua kwako binafsi.
Mwenye kiu ya Mungu, hatakatishwa tamaa.

Thibitisha uwepo wa mungu yeye kawekwa na nani kiaki kama unavyodai?
 
Yote uliyotaja Kuna vitu hukutaja

1.Uhuru wa mtu kuchagua hakuna mtu anaingilia iwe ni Mungu au Shetani kila mtu anawajibika kikamili na uchaguzi wake.

Galatia 6:7 Msipotoshwe: Mungu si wa kudhihakiwa. Kwa maana lolote analopanda mtu, ndilo atakalovuna pia;

2.Moto wa Mateso ni uzushi.Hakuna sehemu kama hiyo.Hakuna popote katika Biblia Mungu anasema atawachoma watu milele.Hata hajawahi kuwaza wazo hilo.

Yeremia 7:31 ..... .... ili kuwateketeza motoni wana wao na mabinti wao, jambo ambalo sikuamuru na ambalo hata halijawahi kamwe kuingia moyoni mwangu.’

3.Mungu anawezo kamili wa kuingia kati ila kwa sasa ameacha mambo yaende yatakavyoenda na Kuna sababu.

Isaya 65:17 Kwa maana, tazama! ninaumba mbingu mpya na dunia mpya; Na mambo ya zamani hayataingia tena akilini, Wala hayataingia tena moyoni.
 
Salaam Members!

Tumekuwa tukisikia toka kwa wafuasi wake kua Mungu ni mwema sana kwa watu wake hapa duniani.

Lakini Mungu huyu kuna maamuzi aliyafanya ambayo ni mengi na yanatia shaka kwanini aamue wachache wapate adhabu kwaajili ya wengine.

Nina mifano miwili:
  • Kitendo cha Mungu kumuumba Yuda Iskariote halafu baadaye Mungu huyo huyo anamtia hatiani kwa kumsaliti Yesu.
Biblia inasema Yesu kwa kuongozwa alimteua pia Yuda Iskariote kama mtume wake na mda huo Yesu anajua fika ninaye msaliti tayari na ataingia hatiani kwa kupitia mtego wa fedha.

Ina maana kweli Mungu alishindwa kufikiria njia mbadala ya mwanae kwenda msalabanii isipokua kumtenga Yuda ndiyo aje amsaliti baadaye?
Yuda aliingia kwenye dhambi huku Mungu ndiyo amesababisha hayo yote tena kwa makusudi kabisa.

Mungu amesema kuna moto wa milele, Mungu huyo ametengeneza mazingira ya Yuda kuingia kwenye dhambi na tayari hukumu iko wazi.
Yuda Iskariote amepata hukumu isiyostahili kwa mipango ya Mungu.

  • Kitendo cha Mungu kumfanya Farao kua na moyo mgumu kuwaachia wana wa Israel.
Mungu alikosea kumfanya Farao akatae kuwaachia wana wa Israel wa hiari huku akilenga zaidi maslahi yake binafsi hasa ya yeye kujulikana.
Unafanya jambo jema ndiyo watu wanakuelewa, lakini yeye anamuingiza kwenye makosa kwa makusudi kabisa akiwa anajua na anajua hukumu yake itakuaje halafu baadaye unaambiwa yeye ana upendo.

Hivi upendo wa Mungu unatoka wapi wakati anatengeneza mazingira yeye mwenyewe ya watu aliowaumba kufanya makosa ili tu yeye afaidike na makosa yao?

Kulikua na haja gani ya kumuumiza Farao na watu wa Misri kiujumla wakati angeweza tu kumfanya Farao awe na moyo mwepesi na kuwaachia Waisraeli wakaondoka?

Mungu aliua watu wa Misri ili watu wake kwa upendeleowa taifa la Israel lipate kufaidika, na wakati wote ni yeye amewaomba.
Cha ajabu, Mungu alikuja kuua watu wengi kwenye ile bahari tena kwa makusudi kabisa.

Kinachosikitisha zaidi ni wafuasi wa Mungu walishangilia na wamekua wakishangilia hivi kitendo vya kionevu kwa wengine na wakati ni binadamu wenzao.

Wafuasi wa Mungu hawana upendo.

Kuna mifano mingi sana kwenye Biblia hasa ya vita, Mungu anaandaa watumishi wake waende vitani na yeye anawaaminisha atawasaidia kuua adui zao.
Kweli Mungu anakosa njia mbadala za Amani za kutatua mgogoro kati ya jamii 2 au zaidi tofauti?

Maamuzi anayofanya Mungu kwa namna nyingine anapendelea, na huo ni ukweli.
Zipo njia mbadala za kutafuta suluhu ya jambo lakini siyo kumuumiza na kumtia hatiani mtu kwa hukumu kali toka kwa Muumba wake.
We mpuuzi, hata huyo Shetani unayemuabudu anajua uwepo wa Mungu, ukubwa wake na uwezo wake.
Hayo maswali yako kakae na mumeo chumbani umuulize, mnaboa sana😡
 
Upuuzi ni nini?
Una uhakika gani namwabudu shetani?

Tunaboa pale mnapoona mnashindwa kumtetea huku akifurahia wengine waumie
 
Maswali ya kitoto sana haya sema muuluza swali akuniuliza mimi ...ninge mjibu yote kwa asilimia 100% maswali ya chekechea haya👶👶👶👶👶
 
Unaupimaje utoto nilionao wakati utoto mnao nyinyi mnafurahia pamoja na Mungu wako kutesa binadamu wengine kwa maslahi yenu binafsi
 
Upuuzi ni nini?
Una uhakika gani namwabudu shetani?

Tunaboa pale mnapoona mnashindwa kumtetea huku akifurahia wengine waumie
Kama humwabudu Mwenyezi Mungu basi utakuwa unamwabudu shetani, na kama humwabudu shetani basi utakuwa unamwabudu Mwenyezi Mungu. Ukimkataa Mungu maana yake umemkubali shetani, na ukimkataa shetani maana yake umemkubali Mungu.
 
Back
Top Bottom