min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Rwaginge na ulipandisha uzi wake humuNdo nani huyo

Unajua Mungu ni Mkuu sana, fikiria kuumba ulimwengu na watu wake. Vitu vyote vilivyomo tunavyoviona na tusivyoviona. Angeamua asituumbe binadamu angeumba wanyama tu. Mungu si katili kamwe. Katuumba na tunaishi hatulipii pumzi, fikiria ingekuwa kila ukivuta pumzi unailipia!!!Huo ni ukatili, zipo njia za busara za kutumia lakini siyo kutesa baadhi ya watu kwa maslahi yako
Sikusema wewe mtoto nimesema maswali ndiyo ya kitotoUnaupimaje utoto nilionao wakati utoto mnao nyinyi mnafurahia pamoja na Mungu wako kutesa binadamu wengine kwa maslahi yenu binafsi
Swala la kuabudu ni "myth" , Mungu au shetani ni fikra zako ..huwezi ukasema kati ya Mungu au shetani lazima aabudiwe mmojawapo, kuna ambaye haabudu yeyote yule hivyo conclusion yako siyo sahihiKama humwabudu Mwenyezi Mungu basi utakuwa unamwabudu shetani, na kama humwabudu shetani basi utakuwa unamwabudu Mwenyezi Mungu. Ukimkataa Mungu maana yake umemkubali shetani, na ukimkataa shetani maana yake umemkubali Mungu.
Kwa tafsiri ya haraka Vitu ambavyo huvioni maana yake hivyo vitu havipo, unachokiona ndiyo kitu. Tofauti na hapo ni vya kufikirika tu.Vitu vyote vilivyomo tunavyoviona na tusivyoviona
Maslahi Kitu chochote kinachomletea mtu au kundi faida, shauku, au umuhimu fulani — kiwe ni kiroho, kihisia, kiuchumi, au kijamii.Mungu hana maslahi yoyote, sisi binadamu ndiyo wenye maslahi yetu wenyewe
Nipe majibu ya kiutuuzimaSikusema wewe mtoto nimesema maswali ndiyo ya kitoto
Dunia tu ni uthenge tosha ,hakuna faida tunapata ni ujinga tu .Kila mtu ubabe ; kumejaa dhuluma ,unafiki ,umaskini tabu za kila aina.

Hizi elimu zipo hata kabla ya yeye kuwepo dunianiRwaginge na ulipandisha uzi wake humu
Umejuaje yeye hakuwepo kabla?Hizi elimu zipo hata kabla ya yeye kuwepo duniani
History na vumbuzi mbalimbali zingine mabaki yamepatikana kwenye historical city na kwenye mapiramidi EgyptUmejuaje yeye hakuwepo kabla?
Wewe ni kijana mdogo unaesoma tu na kushusha uzi ila hauna experience ya hata nnje ya mwili kama mimi gademiiitHistory na vumbuzi mbalimbali zingine mabaki yamepatikana kwenye historical city na kwenye mapiramidi Egypt
Vitu vya uwongo mnaaminiSalaam Members!
Tumekuwa tukisikia toka kwa wafuasi wake kua Mungu ni mwema sana kwa watu wake hapa duniani.
Lakini Mungu huyu kuna maamuzi aliyafanya ambayo ni mengi na yanatia shaka kwanini aamue wachache wapate adhabu kwaajili ya wengine.
Nina mifano miwili:
Biblia inasema Yesu kwa kuongozwa alimteua pia Yuda Iskariote kama mtume wake na mda huo Yesu anajua fika ninaye msaliti tayari na ataingia hatiani kwa kupitia mtego wa fedha.
- Kitendo cha Mungu kumuumba Yuda Iskariote halafu baadaye Mungu huyo huyo anamtia hatiani kwa kumsaliti Yesu.
Ina maana kweli Mungu alishindwa kufikiria njia mbadala ya mwanae kwenda msalabanii isipokua kumtenga Yuda ndiyo aje amsaliti baadaye?
Yuda aliingia kwenye dhambi huku Mungu ndiyo amesababisha hayo yote tena kwa makusudi kabisa.
Mungu amesema kuna moto wa milele, Mungu huyo ametengeneza mazingira ya Yuda kuingia kwenye dhambi na tayari hukumu iko wazi.
Yuda Iskariote amepata hukumu isiyostahili kwa mipango ya Mungu.
Mungu alikosea kumfanya Farao akatae kuwaachia wana wa Israel wa hiari huku akilenga zaidi maslahi yake binafsi hasa ya yeye kujulikana.
- Kitendo cha Mungu kumfanya Farao kua na moyo mgumu kuwaachia wana wa Israel.
Unafanya jambo jema ndiyo watu wanakuelewa, lakini yeye anamuingiza kwenye makosa kwa makusudi kabisa akiwa anajua na anajua hukumu yake itakuaje halafu baadaye unaambiwa yeye ana upendo.
Hivi upendo wa Mungu unatoka wapi wakati anatengeneza mazingira yeye mwenyewe ya watu aliowaumba kufanya makosa ili tu yeye afaidike na makosa yao?
Kulikua na haja gani ya kumuumiza Farao na watu wa Misri kiujumla wakati angeweza tu kumfanya Farao awe na moyo mwepesi na kuwaachia Waisraeli wakaondoka?
Mungu aliua watu wa Misri ili watu wake kwa upendeleowa taifa la Israel lipate kufaidika, na wakati wote ni yeye amewaomba.
Cha ajabu, Mungu alikuja kuua watu wengi kwenye ile bahari tena kwa makusudi kabisa.
Kinachosikitisha zaidi ni wafuasi wa Mungu walishangilia na wamekua wakishangilia hivi kitendo vya kionevu kwa wengine na wakati ni binadamu wenzao.
Wafuasi wa Mungu hawana upendo.
Kuna mifano mingi sana kwenye Biblia hasa ya vita, Mungu anaandaa watumishi wake waende vitani na yeye anawaaminisha atawasaidia kuua adui zao.
Kweli Mungu anakosa njia mbadala za Amani za kutatua mgogoro kati ya jamii 2 au zaidi tofauti?
Maamuzi anayofanya Mungu kwa namna nyingine anapendelea, na huo ni ukweli.
Zipo njia mbadala za kutafuta suluhu ya jambo lakini siyo kumuumiza na kumtia hatiani mtu kwa hukumu kali toka kwa Muumba wake.
Kuamini ni kuamuaWewe ni kijana mdogo unaesoma tu na kushusha uzi ila hauna experience ya hata nnje ya mwili kama mimi gademiiit
Wewe hauna uwezo wowote wa kunaiambia mimi chochote kuhusu spirituality kwa sababu wewe unasoma tu kitu ambacho mimi nilishafanya wewe hata meditation ya masaa matatu tu hauna uwezo wa kuifanya🤔Kuamini ni kuamua
Haya mwalimu tumwagie madini tufike level yakoWewe hauna uwezo wowote wa kunaiambia mimi chochote kuhusu spirituality kwa sababu wewe unasoma tu kitu ambacho mimi nilishafanya wewe hata meditation ya masaa matatu tu hauna uwezo wa kuifanya🤔
Meditation ya masaa matatu - Thats great!!Wewe hauna uwezo wowote wa kunaiambia mimi chochote kuhusu spirituality kwa sababu wewe unasoma tu kitu ambacho mimi nilishafanya wewe hata meditation ya masaa matatu tu hauna uwezo wa kuifanya🤔
Political scarm Ili wachache wale.Salaam Members!