Nina wasiwasi na haya maamuzi ambayo Mungu aliyafanya, hapa alikosea

Huo ni ukatili, zipo njia za busara za kutumia lakini siyo kutesa baadhi ya watu kwa maslahi yako
Unajua Mungu ni Mkuu sana, fikiria kuumba ulimwengu na watu wake. Vitu vyote vilivyomo tunavyoviona na tusivyoviona. Angeamua asituumbe binadamu angeumba wanyama tu. Mungu si katili kamwe. Katuumba na tunaishi hatulipii pumzi, fikiria ingekuwa kila ukivuta pumzi unailipia!!!

Mungu hana maslahi yoyote, sisi binadamu ndiyo wenye maslahi yetu wenyewe, wabinafsi. Mungu hana hayo ananyeshesha mvua kwa masikini na matajiri, anachotaka tufate amri zake tu. Ikiwa unaweza kufata amri za Baba yako nyumbani, unashindwa nini za Mungu?
 
Kama humwabudu Mwenyezi Mungu basi utakuwa unamwabudu shetani, na kama humwabudu shetani basi utakuwa unamwabudu Mwenyezi Mungu. Ukimkataa Mungu maana yake umemkubali shetani, na ukimkataa shetani maana yake umemkubali Mungu.
Swala la kuabudu ni "myth" , Mungu au shetani ni fikra zako ..huwezi ukasema kati ya Mungu au shetani lazima aabudiwe mmojawapo, kuna ambaye haabudu yeyote yule hivyo conclusion yako siyo sahihi
 
Vitu vyote vilivyomo tunavyoviona na tusivyoviona
Kwa tafsiri ya haraka Vitu ambavyo huvioni maana yake hivyo vitu havipo, unachokiona ndiyo kitu. Tofauti na hapo ni vya kufikirika tu.
Mungu hana maslahi yoyote, sisi binadamu ndiyo wenye maslahi yetu wenyewe
Maslahi Kitu chochote kinachomletea mtu au kundi faida, shauku, au umuhimu fulani — kiwe ni kiroho, kihisia, kiuchumi, au kijamii.

Mungu alimnyanyasa sana Farao kwa maslahi yake binafsi na ndiyo nasema Mungu anawatumia binadamu kuwatesa na kuamuru kifo kwao ili yeye aonekane kwa kikundi fulani tu anachokilenga
 
History na vumbuzi mbalimbali zingine mabaki yamepatikana kwenye historical city na kwenye mapiramidi Egypt
Wewe ni kijana mdogo unaesoma tu na kushusha uzi ila hauna experience ya hata nnje ya mwili kama mimi gademiiit
 
Vitu vya uwongo mnaamini
 
Kuamini ni kuamua
Wewe hauna uwezo wowote wa kunaiambia mimi chochote kuhusu spirituality kwa sababu wewe unasoma tu kitu ambacho mimi nilishafanya wewe hata meditation ya masaa matatu tu hauna uwezo wa kuifanya🤔
 
Wewe hauna uwezo wowote wa kunaiambia mimi chochote kuhusu spirituality kwa sababu wewe unasoma tu kitu ambacho mimi nilishafanya wewe hata meditation ya masaa matatu tu hauna uwezo wa kuifanya🤔
Haya mwalimu tumwagie madini tufike level yako
 
Wewe hauna uwezo wowote wa kunaiambia mimi chochote kuhusu spirituality kwa sababu wewe unasoma tu kitu ambacho mimi nilishafanya wewe hata meditation ya masaa matatu tu hauna uwezo wa kuifanya🤔
Meditation ya masaa matatu - Thats great!!
 
Political scarm Ili wachache wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…