Namba ya binti, wewe achana nae. Ila chonde chonde naomba namba yake DMHabarini wakubwa ,
Poleni na majukumu nianze Kwa kuomba radhi Kwa nitakao wa kwaza
Mm ni kijana wa miaka 27 baada ya mahingaiko ya kutafuta mke Kwa mda mrefu kuwa magumu basi nlikata tamaa ya kuoa kabisa nkasema ntaendelea kuwa single
Kwa bahati nzuri dada yangu alinitafutia bint mwenye miaka17 na kunikutanishanae lkn Kwa upande wangu sikuwa na jibu la kumpa ingawa familiar yangu ilikuwa inatumia nguvu kubwa ili nimuoe yule Binti lkn mm bado sikuwa tayari
Baada ya kuonana alikuwa ni Binti mzur sana Kwa muonekano Tena mashaallah mtoto wa kiislamu
Baada ya hapo dad aliniambia nimpatie zawadi mi nakanunua mavaz ya kiislamu ya yule Binti pamoja sendo nilitoa zaidi ya laki2.5 nikawapa na nauli ya kurud kwao
Baada ya hapo nkawa nawaza n chukue hatua gan lakn moyo bado haukuwa tayar Kwa yule Binti sababu muonekano sio kipaumbele changu sijui tabia n.k
Sas Binti alivyorud kwao wazaz wake walimuuliza kuhusu mm yeye akawajibu Kuwa ameridhika na mm na yuko tayari kuolewa changamoto ikawa Kwa upande wangu nliulizwa na dada nlimwambia anipe mda zaidi nijifikirie maana hii ni hatma ya maisha yangu mm
Nlikaa zaidi ya wiki 2 wakaniuliza ndyo nikawapa majibu kuwa nimekubali ila siwez kumuoa Kwa wakati huo mwaka Jana sababu sipo vzur kiuchum na akili haijapata utulivu wakutosha wakasema saw
Baada ya wazaz wa yule Binti wakawa wanamuuliza dada kuwa sis tumefikia hatma Gani mbona tupo kimya sana dada akawajibu Kuwa mm nimekubali ila tuomba ndoa iwe mwakani yaani mwaka huku
Wazaz wa bint wakasema sawa ila kama ni hivyo nipeleke barua ya posa ili waweze kutambua kama bint n mchumba wa mtu taarifa hyo nlivyoipata nilichukua mda kufanya maamuz sababu bado sikuwa na Imani ya moja Kwa moja na yule Binti
Bas baada ya miez 2 kupita na jambo la kunitaka nipeleke barua bas nilitafuta mshenga akaandaa barua nkampa na kias cha pesa akapeleka wazaz wa bint wakapokea
Baada ya hapo nkwawa n mchumba rasmi sas mwaka ulishaisha na Sasa n mwezi wa 6 wazaz wa yule Binti wanaona bado nipo kimya ingawa huduma nampatia kama fedha na mavaz ingawa sio kivile sana ila huwa namtua
Kwasasa wanataka nipeleke mahali ila moyo najiona bado Nina hofu yaan natamani nimwambie mshenga tuachane na haya kabisa ila bado Nina hofu ingawa yule Binti anaonekana kunijali kunitafuta lakn mm naona bado sipo sawa
Najuuliza maswali majibu makosa sijui nifanye nn
Naombeni ushauri kaka zangu,dada,wajomba,bibi,na babu zangu
Asante sana
Tukupe ushauri gani tena?Habarini wakubwa ,

Usimpoteze kijana.Nachoweza kusema, kama mama wazazi wako walishiriki kumtafuta na wanamjua vyema huyo binti na familia yake basi Muoe. Wazazi wako siku zote wanakutakia mema, Inawezekana ni pisikali za mjini zinakuchnaganya ukimlinganisha na huyo binti.
KuDoubt unayemuoa ni jambo la kawaida sana hata ukiwa na huyo uliyemtafuta ww lazima uta doubt the same. For the collective goods Muoe huyo binti!
kwahiyo watu hawatakiwi kuchoka au 🤣Ukishaanza kuona unatafuta mke mpaka unachoka ujue unashida.
Kwanza huna ndoa hivyo usiseme kuwa una wasiwazi na ndoa yako.Pili hauko tayari kuoa period.Waeleze wazazi wako na huyo mchumba wako mapema usije kuleta balaa la bila sababu.Muda ukifika utaoa,kwa sasa hauko tayari.PLEASE USIMPOTEZEE MUDA HUYO DADA MWAMBIE KUWA HUTAMUOA.Habarini wakubwa ,
Poleni na majukumu nianze Kwa kuomba radhi Kwa nitakao wa kwaza
Mm ni kijana wa miaka 27 baada ya mahingaiko ya kutafuta mke Kwa mda mrefu kuwa magumu basi nlikata tamaa ya kuoa kabisa nkasema ntaendelea kuwa single
Kwa bahati nzuri dada yangu alinitafutia bint mwenye miaka17 na kunikutanishanae lkn Kwa upande wangu sikuwa na jibu la kumpa ingawa familiar yangu ilikuwa inatumia nguvu kubwa ili nimuoe yule Binti lkn mm bado sikuwa tayari
Baada ya kuonana alikuwa ni Binti mzur sana Kwa muonekano Tena mashaallah mtoto wa kiislamu
Baada ya hapo dad aliniambia nimpatie zawadi mi nakanunua mavaz ya kiislamu ya yule Binti pamoja sendo nilitoa zaidi ya laki2.5 nikawapa na nauli ya kurud kwao
Baada ya hapo nkawa nawaza n chukue hatua gan lakn moyo bado haukuwa tayar Kwa yule Binti sababu muonekano sio kipaumbele changu sijui tabia n.k
Sas Binti alivyorud kwao wazaz wake walimuuliza kuhusu mm yeye akawajibu Kuwa ameridhika na mm na yuko tayari kuolewa changamoto ikawa Kwa upande wangu nliulizwa na dada nlimwambia anipe mda zaidi nijifikirie maana hii ni hatma ya maisha yangu mm
Nlikaa zaidi ya wiki 2 wakaniuliza ndyo nikawapa majibu kuwa nimekubali ila siwez kumuoa Kwa wakati huo mwaka Jana sababu sipo vzur kiuchum na akili haijapata utulivu wakutosha wakasema saw
Baada ya wazaz wa yule Binti wakawa wanamuuliza dada kuwa sis tumefikia hatma Gani mbona tupo kimya sana dada akawajibu Kuwa mm nimekubali ila tuomba ndoa iwe mwakani yaani mwaka huku
Wazaz wa bint wakasema sawa ila kama ni hivyo nipeleke barua ya posa ili waweze kutambua kama bint n mchumba wa mtu taarifa hyo nlivyoipata nilichukua mda kufanya maamuz sababu bado sikuwa na Imani ya moja Kwa moja na yule Binti
Bas baada ya miez 2 kupita na jambo la kunitaka nipeleke barua bas nilitafuta mshenga akaandaa barua nkampa na kias cha pesa akapeleka wazaz wa bint wakapokea
Baada ya hapo nkwawa n mchumba rasmi sas mwaka ulishaisha na Sasa n mwezi wa 6 wazaz wa yule Binti wanaona bado nipo kimya ingawa huduma nampatia kama fedha na mavaz ingawa sio kivile sana ila huwa namtua
Kwasasa wanataka nipeleke mahali ila moyo najiona bado Nina hofu yaan natamani nimwambie mshenga tuachane na haya kabisa ila bado Nina hofu ingawa yule Binti anaonekana kunijali kunitafuta lakn mm naona bado sipo sawa
Najuuliza maswali majibu makosa sijui nifanye nn
Naombeni ushauri kaka zangu,dada,wajomba,bibi,na babu zangu
Asante sana
Thanks tooNachoweza kusema, kama mama wazazi wako walishiriki kumtafuta na wanamjua vyema huyo binti na familia yake basi Muoe. Wazazi wako siku zote wanakutakia mema, Inawezekana ni pisikali za mjini zinakuchnaganya ukimlinganisha na huyo binti.
KuDoubt unayemuoa ni jambo la kawaida sana hata ukiwa na huyo uliyemtafuta ww lazima uta doubt the same. For the collective goods Muoe huyo binti!
Asante Kwa ushauriKwanza huna ndoa hivyo usiseme kuwa una wasiwazi na ndoa yako.Pili hauko tayari kuoa period.Waeleze wazazi wako na huyo mchumba wako mapema usije kuleta balaa la bila sababu.Muda ukifika utaoa,kwa sasa hauko tayari.PLEASE USIMPOTEZEE MUDA HUYO DADA MWAMBIE KUWA HUTAMUOA.