Nina wasiwasi na hii ndoa yangu. Nifanyeje?

Nina wasiwasi na hii ndoa yangu. Nifanyeje?

yani kijana m bichi wa miaka 27 ulitafuta mke ukachoka?,,,, enweiiii kama moyo wako haupo tayali usiuforce kisije kikakulamba huko ndani

Namuelewa sana kwani hata mimi nilitafuta hadi nikachoka.
Kwa mtu aliyoko serious kupambana na maisha, yupo busy na sio wa Viwanja
Asipo mpata mke masomoni huku mtaani atasota sana....
Ukitaka kuoa mwanamke anaye eleweka huku mtaani ni hadi afikishe 30 and above; ....huku chini wapo kimtego; hawana maamuzi.....wengine wanataka tu kupiga hela wasepe..... tofauti na hapo ukachukue huko kijijini
 
Nachoweza kusema, kama mama wazazi wako walishiriki kumtafuta na wanamjua vyema huyo binti na familia yake basi Muoe. Wazazi wako siku zote wanakutakia mema, Inawezekana ni pisikali za mjini zinakuchnaganya ukimlinganisha na huyo binti.

KuDoubt unayemuoa ni jambo la kawaida sana hata ukiwa na huyo uliyemtafuta ww lazima uta doubt the same. For the collective goods Muoe huyo binti!
Hakuna kitu kama hicho hizi issue zimeumiza watu nina ushuhuda

Tena Familia hizi za watu wa Sunna
Oooh olewa sie twaifahamu familia yake mpka babu zake mtu awekwa kikao kisha yakienda kombo wanaanza ngonjela oooh ujue nyie japo mumeona nyie ndugu msiachane mtaleta tafrani

Kijana mleta mada kama hujusikii hata usikubari
 
Sikiliza moyo waka unataka nini nyogeza umekaa mwaka mmoja bado huelewi moyo wako unataka, ni mbaya hiyo siyo kwako ni kwa binti ni kama umemuweka kifunguoni henda hata kuna mwingine anamtaka .so sikushauri cha kufanya ila ogopa kumpotezea mtu muda wake
 
Binti wa miaka 17! Of course bado hajakomaa, umekaa naye kumsoma ni mtu wa Aina gani? Je unamwona akikusaidia kutimiza malengo yako?
 
Ulianza kwa kuchoka kutafuta mke, ukatafutiwa ila bado una wasiwasi. Huo wasiwasi ndio ulikufanya uchoke kutafuta mke.
Hapa hujasema ana kasoro gani, ila tu tabia yake huijui. Miezi 6 ya posa pamoja na miezi kadhaa nyuma kabla hujajihangaisha kumchunguza kimakusudi ili uje usingizie hujamfahamu vizuri.

Dini yenu huwa mnaamini majini ya ngono sijui mapenzi. Sasa sijui niseme ndio hilo linakusumbua. Au kuna mkono wa mtu?
Mkuu T14 Armata it's been a while brother.

Mchambuzi wa Geopolitics na Vita.
 
Binti wa miaka 17! Of course bado hajakomaa, umekaa naye kumsoma ni mtu wa Aina gani? Je unamwona akikusaidia kutimiza malengo yako?
Kiukwel huwa tunawsiliana kujuliana hali tuuh na vtu vidogo kama anaumwa au anashida fulan lakn kuhusu future na malengo ya kimaisha hatujawah kuongea kabisa
 
Kiukwel huwa tunawsiliana kujuliana hali tuuh na vtu vidogo kama anaumwa au anashida fulan lakn kuhusu future na malengo ya kimaisha hatujawah kuongea kabisa
That's where your task is Anza kumjua kiuundani kwanza
 
Mimi kama Mwalimu wa Hekima, Nakushauri wasikilize wazazi wako.

Kwa sababu wao ukiwaletea msichana unaye mtaka wewe maana yake wewe , ndiye unaye mjua mtu sahihi kuliko wao.

Kwa hiyo na huyo mtu wako hawatakuruhusu pia umuoe
Wata kwambia hafai ata kama anafaa.

Ukitaka kupatana na wazazi wako muoe huyo Binti & ukitaka Vita nao
Oa mwanamke unaye mjua wewe.
Asante mwalimu Kwa ushauri
 
Bado sijaelewa hofu yako ni ipi hapo?

Kama una wasiwasi na tabia jaribu kufanya upelelezi.
Kwa kuulizia mtaani kwao.

Hii inaonyesha jinsi gani ilivyo ngumu kuoa kwa mfumo huu wa zamani.
Naona ni ngumu zaid
 
Back
Top Bottom