Nina wasiwasi na hii ndoa yangu. Nifanyeje?

Nina wasiwasi na hii ndoa yangu. Nifanyeje?

Mimi na wewe tunafanana ila tunatofautiana sehemu zifuatazo
1. Mimi niliunganishwa na kakake
2. Sikutoa barua wala posa
3. Wiki iliyopita, nimejulishwa huyo binti wa kiislam kapelekewa barua ya 3
 
Jiulize swali moja kisha ujipe jibu baada ya kutafakari,

- Unajiona kweli upo tayari kuoa au unataka kuoa kwasababu ya pressure ya dada yako na wazazi wako?

Binafsi, baada ya kusoma maelezo yako vizuri, nikayachakata kwa bongo yangu, naamini bado hujawa tayari kuoa, ndio maana moyo wako unasita.

Hapo kuna mawili.

Unaweza kuoa ili uwaridhishe wazazi na dada, kisha ukakosa amani ya moyo ukiwa ndani na mke.

Hilo ni baya sana, linaweza kukuathiri kisaikolojia, likasababisha hata kimwili afya iyumbe.

Lakini pia, inawezekana wewe mwenyewe bado unajiona hujakaa vizuri zaidi kiuchumi, ndio maana bado moyo wako una mashaka, hasa nikizingatia unaposema binti hana tatizo lolote kimuonekano, na zaidi anaonekana kukujali.

Asante
 
Mimi na wewe tunafanana ila tunatofautiana sehemu zifuatazo
1. Mimi niliunganishwa na kakake
2. Sikutoa barua wala posa
3. Wiki iliyopita, nimejulishwa huyo binti wa kiislam kapelekewa barua ya 3
Duuh
 
Kiuharisia huyo bint ndo mke bora usipo mwoa utakuja kukumbuka baadae.

Atakuganda japo wew hutampenda ila atakuwa mke mvumilvu, sema unamfananisha na akina Ashura na pili ambazo ni pisi kali.

usioe kwa ajiri ya marafk watakuonaje.

ukitaka kuwa na mali oa mwanamke wakawaida tu mdogo wangu pisi kali kwa ajiri ya maonyesho kuwa una mke mzuri ila huwa hazifki mbali na kiuchumi huta grow na pia utapata ugonjwa wa moyo.

ila ukimuoa na bdo unahiyo hofu hamtafika mbali.
ondoa hofu amua kuwa unaoa na anakufaa. jiambie hvo ila kama moyo unagoma piga chin waambie wazaz pande mbil..
Usije ukakondeshwa na ndoa bure. yale ndo maisha
 
Kiuharisia huyo bint ndo mke bora usipo mwoa utakuja kukumbuka baadae.

Atakuganda japo wew hutampenda ila atakuwa mke mvumilvu, sema unamfananisha na akina Ashura na pili ambazo ni pisi kali.

usioe kwa ajiri ya marafk watakuonaje.

ukitaka kuwa na mali oa mwanamke wakawaida tu mdogo wangu pisi kali kwa ajiri ya maonyesho kuwa una mke mzuri ila huwa hazifki mbali na kiuchumi huta grow na pia utapata ugonjwa wa moyo.

ila ukimuoa na bdo unahiyo hofu hamtafika mbali.
ondoa hofu amua kuwa unaoa na anakufaa. jiambie hvo ila kama moyo unagoma piga chin waambie wazaz pande mbil
Asante sana kiongoz wangu natumai maneno n funzo kwangu
 
Sasa kama mpaka demu umetafutiwa na dada ako Pana kazi hapo.Sasa mtu kama anashindwa kuoa kwenye uislam ungezaliwa kwenye ukristo je?
 
USIPENDE KUPINGANA NA ASILI, JIFUNZE KUSIKILIZA NAFSI YAKO,KAMA INAGOMA PIGA CHINI.

WEWE UNAONEKANA DADAKO NA FAMILIA YAKO WANAKUMUDU SANA.HAPO NI TESTESTERONE ZIMEGOMA KUPELEKESHWA(NDO MAANA UNACHANGANYIKIWA) SO ZISIKILIZE HIZO NGUVU ZA ASILI ACHA UMBUZI.

📌KATAA NDOA,KATA ULOFA!
 
Wanaume wanamatatizo yq kipumbafu sana

Principal nzuri ya kuoa ukainjoy life ni mke akupende

Ukipenda wewe mke asikupende ni jehanam ya ndoa kabisa

Kama mke amekupenda na ukawa na uhakika na amekubalika nyumbani kwenu una raha sana

Wewe jifanye kufuata moyo wako majuto ni mlangoni pako na siyo mjukuu

Ila huwa mnachekesha mnapilitumia hilo nene KUPENDA hovyohovyo, nikikuuliza kupenda ni nini na unatumia vigezo gani kujua hapa mtu kapenda.Wacheni utapeli nyie.

Mimi mtu akianza kuniektia ananipenda huwa nampa mitihani mitano bila kumwambia nione kama anatobia.Funny enough hamna aliyewahi kutoboa hata kushinda mitihani mitatu😄😄😄😄

Yaani na umri wangu huu utanidanganya nini kuhusu mapenzi.Unapenzi gani utanipa.Acheni utapeli.

MAPENZI HAKUNA,TUSIDANGANYANE.HUO MCHEZO WA KIHISIA NI AIDHA UWE UNACHEZEWA AU UNACHEZEA.

"LOVE IS A GAME OF PLAYING OR BEING PLAYED"

📌Make sure you play chess not chekers!!!!
 
😁😁😁Kumbe shida yako ni nyeto Wakuu mpeni mwongozo changamoto yake ni nyeto

kijana anatakiwa ale kelebu moja matata kwenye uchogo ili MEDULLA OBLONGATA isome network vizuri.

Dogo ni domo zege bladicocroch!!!

Huyu watamchapia vibaya huko alikokodi getto😄😄😄

📌Huyu bwanamdogo mwacheni afike walau 32 hivi au 35 atakuwa kakomaa kiakili,kimwili na kihisia.

Muda wakuzizoea chupi yeye alikuwa busy anasongoka(akina Joni kisomo hawa) huyu anahitaji muda ili azoe lasivyo mda si mrefu atakuja kulia wamemmegea kitoddler chake😄😄
 
USIPENDE KUPINGANA NA ASILI, JIFUNZE KUSIKILIZA NAFSI YAKO,KAMA INAGOMA PIGA CHINI.

WEWE UNAONEKANA DADAKO NA FAMILIA YAKO WANAKUMUDU SANA.HAPO NI TESTESTERONE ZIMEGOMA KUPELEKESHWA(NDO MAANA UNACHANGANYIKIWA) SO ZISIKILIZE HIZO NGUVU ZA ASILI ACHA UMBUZI.

📌KATAA NDOA,KATA ULOFA!
Thanks
 
Back
Top Bottom