Nina wasiwasi na mke wangu...

Akirudi afanye haya?;
1. Omba simu yake kwa kushtukiza
2. Apewe tiketi
Vinginevyo akague hilo beseni down akikuta limetepeta baasi
[emoji1787][emoji23] et beseni
 
Tatizo lilianza mapema pale ambapo "hukutaka kudoubt"
 
Hii ifanye imeshapita kubali matokeo kuwa ni 3-0 ila nikufundishe kitu, muonja asali huwa haonji mara moja, atarejea tena kukuomba ruhusa kama hiyo wakati mwingine.

NINI UFANYE?

Mruhusu aende kwao wala usioneshe kuwa umestuka au una wasiwasi wowote, akiondoka kama Dar alfajiri basi saa 12 jioni atakuwa kashaingia Singida. Msubiri saa 1 usiku hv ...mpigie simu uongee nae halafu mwambie amkabidhi simu dada yake au ndugu zake waliopo hapo usalimiane nao kwa kupitia simu yake....au wapigie simu shemeji zako uongee nao halafu waambie kuwa wamkabidhi simu ndugu yao maana umemtafuta humpati.Ukiweza kuongea nae utajua kuwa yupo kweli singida kama hujampata jua kuwa hayupo hapo .
 
Mkuu nilimruhusu sababu yakusema ameitwa na dadazake but haijulikani nini shida kwakuwa ni familia yake nikamruhu aende ili tujue nini shida huko
Kwani wewe na dada zake nani ndo Mume? Acha kuwa mpumbavu, mwanamke akishaolewa hata wazazi wake hawana mamlaka nae ni mali ya mwanaume hiyo.

hata wazazi wake wakimuita ukiona ni upuuz na hakuna ulazima unamkataza hakuna kwenda na hawana la kufanya juu yako. Ukiona wanaleta unamfukuza mtoto wao wamuoe wenyewe.. mwanaume unapaswa kuwa na misimamo ktk nyumba yako.hata wazazi wako hawana mamlaka ya maamuzi ya familia yako
 
Huna namba za shemeji zako? Ni kweli ana dada zake wanaoishi singida? Mwisho, mkeo ni mtu wa kabila gani? Tusijekuwa tunaongea mambo ya ushemeji hapa
 
Hakuna haja ya kuhangaika na upuuzi huo, malaya kama huyo hajui thaman ya kuwekwa ndani piga chini
 
Wanaume wote wa jf wana authority kwa wake zao kasoro huyu mwamba.
Yaani wake zao hawaendi kwao bila mtu wa kwao kumuomba ruhusa mume🤣🤣🤣🤣. Mpo vizuri.
Hatutaki ujinga sie wanaume wa jf
 
Akirudi afanye haya?;
1. Omba simu yake kwa kushtukiza
2. Apewe tiketi
Vinginevyo akague hilo beseni down akikuta limetepeta baasi
Adai tiketi zote na aulize mashemeji zake inshort mali imeliwa
 
Mmmmmhhhhhhh


Shemeji zako wanamwita mkeo hawakwambii wewe na kinatosha walichokiongea wao!! Kwanini wasikupigie Simu na kukujulisha A to Z ya hicho wanachohitaji kuongea na ndugu yao???

Kulingana na maelezo SAFARI YA MKEO ILIKUWA-CONTROLLED na Mtu mwingine.... Ingawa hujaeleza unakaa mkoa gani LAKINI kwa safari serious huwa zinaanza asubuhi na mapema....

LAKINI NI DHARAU YA HALI YA JUU KUMWAGA MWENZA WAKO KIENYEJI HIVYO.... Chunguza itakuwa umpata MSAIDIZI kaka yangu...

Kama kweli ana jambo angalia yafuatayo:
1. Umahiri wa kuwa karibu na simu yake na vipassword vipya, au kuipotezea mazima uwapo nyumbani.

2. Kutaongezeka ratiba za visafari vya hapa na pale vya kushitukiza...

3. Kitandani ataanza kuwa mchovu kwa kisingizio cha safari, kazi na mfano wake..

4. Simu yake itakuwa chanzo kikubwa cha FURAHA....

KWETU WANAWAKE AKIANZA KUCHEPUKA KAMA HAIKUWA TABIA YAKE BASI SIYO NGUMU KUGUNDUA KWA MWANAUME MAKINI.

Kwa masilahi ya FAMILIA NA WATOTO akikiri msamehe na muongezee dozi kitandani na mlee watoto maana HATUTAKI UJE UTELETEE VISA VYA MKEO[MAMA WA KAMBO] KUWANYANYASA WANAO.
 
Mwanamke umleavyo ndivyo aishivyo na wewe,

Hizo taabu umezitengeneza mwenyewe, maana kwenye ndoa inabidi WEWE NDIO UWE MUAMUZI WA MWISHO, NA WEWE NDIO WA KUMRUHUSU AENDE AU ASIENDE
 
Wanaume wote wa jf wana authority kwa wake zao kasoro huyu mwamba.
Yaani wake zao hawaendi kwao bila mtu wa kwao kumuomba ruhusa mume[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mpo vizuri.
Demi mimi na comment wapi maana bado sijaoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…