Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
[emoji1787][emoji23] et beseniAkirudi afanye haya?;
1. Omba simu yake kwa kushtukiza
2. Apewe tiketi
Vinginevyo akague hilo beseni down akikuta limetepeta baasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji23] et beseniAkirudi afanye haya?;
1. Omba simu yake kwa kushtukiza
2. Apewe tiketi
Vinginevyo akague hilo beseni down akikuta limetepeta baasi
Sema jamaa ndio ameruhusu hilo, hamna mke aliye juu ya mume bila baba kuruhusu.Huyu tuseme tu mkewe anammudu asee, anaweza kuwa n mke lkn yuko juu ya jamaa hatari.
Tatizo lilianza mapema pale ambapo "hukutaka kudoubt"Habar wana JF,
Naimani mko wazima.
Kiukweli nimekuwa na wasiwasi na safari ya wife, sijui kwanini lakini ni safari ambayo siielewi kabsa wakuu. Nina mashaka nayo coz naona mapicha picha tu.
Ni kwamba wife kasafiri juzi ijumaa kuelekea Singida lakini safari yake sielewi elewi kabisa, kwasabubu kwanza ni safari ya kushtukiza lakini pia mpaka now sielewi aim ya safari ni nini mpaka now.
Alhamisi amerudi kutoka kazini usiku tunalala ndiyo ananipa taarifa ya kuwa kesho Ijumaa anasafiri, nikamuuliza unaenda wap? Akaniambia kapigiwa simu na dada zake wamemuita ambao wanakaa Singida. Nikamuuliza kunatatizo akasema hapana, ila sijui wanashida gani na mimi ndiyo wamenipigia simu niende.
Kiukweli nilikuwa nimechoka nahitaji kupumzika, sikutaka ku complicate kitu, nikamjibu sawa nikalala. Then asubuhi nikajiandaa nikaenda kazini vizur. Niko job ananipigia simu kuwa ndiyo anatoka home anaelekea stendi kupanda bus. Iikuwa almost kama saa 7 hivi mchana nikamjibu haya na nikamuuliza kama kunakitu chochote anahtaji akasema hapana yuko powa.
Basi nikakata simu lakini kiukweli ghafla akili yangu ilishikwa na wasiwasi juu ya safari yake but sikutaka ku doubt anything nikapotezea. Baadaya kupita kama lisaa akanitumia message kuwa amepata basi but akifika Dodoma atashuka kuna ndugu yake anamchuka then wanaenda wote.
Daah, sikutaka pia ku doubt wala mambo mengi nikamjibu sawa, nikaachana naye nikaendelea na kazi zangu, but bado sikuona sababu ya yeye kushuka Dodoma. By saa 2 ndiyo ananiambia ndiyo wanaondoka Dodoma nikamjibu sawa safari njema tukaacha hivyo. Basi mi nikarud home usiku kwakuwa nilishapita somewhere nikapata chakula nikafika home niko good, nikaoga nikaingia kwa bed nikampigia ananiambia kashafika ila kachoka na safari nikamuacha nikapumzika.
Sasa leo Jpili tumeongea asubuh vizur tu na tukaagana baadae by saa 7 mchana ananiambia ndiyo anataka kurudi leo. Nikamuuliza mbona hukuniambia asubuhi na kwanini usingeondoka asubuhi? Sijaona cha maana anachonijibu, basi nikamwambia haya kama unarudi leo. Tuakaacha baada ya kama nusu saa ananipigia simu ananiambia kuwa yupo stendi, mara gari sijui hakuna, mara zimejaa, mara nimechoka nasikia usingizi, nikamwambia sasa siungebaki ili uondoke kesho asubuhi akasema sawa tukaacha.
Baadae ananitumia message eti amepata gari ila linaishia Dodoma kwaiyo atashuka Dodoma. Aloo nikasema kimoyomoyo hapo Dodoma hapo siyo bure, coz kwenda kashuka Dodoma kurudi baada arud kesho kama kweli kakosa usafiri na tumekubalina anarudi kesho mapema na sidhani kama kweli alikosa usafiri by that time ananiambia kuwa kapata usafiri.
Ila unaishia Dodoma so ataenda kulala Dom, sikutaka ku complicate nikamjibu sawa basi nikaachana nae. Ila cha ajabu baada ya hapo akawa kimya hakusema kama kafika au laa. Yaani ndo ananitumia text saa hii, saa 5 usiku kuwa alifika salama ila alishindwa kuniambia coz vidonda vya tumbo vilimshika akafikia kupumzika. Heheheh nacheka ila najua mwenyewe wakuu but sijamjibu na sitamjibu lakini namsubiri arudi kesho nikitoka kazini anieleze vizuri kuhusu hii safar yake.
Japokuwa mimi siyo mtu wa kumchunguza mwanamke na sipendi kabisa kuchunguza mtu sababu naelewa what’s gonna happen.
Wakuu kama kuna la kuniongezea karibuni sana, uwanja ni wenu.
Itakuwa mwenzetu kashachagazwa kwa limbwata ila linaelekea kuwa outdated. Soon mke ata updateUnaishi vp na mkeo mzee
Au yy ndiye mkuu wa kaya
Mwanaume inatakiw ww ndiy uamue asafir au asisafiri
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Kwani wewe na dada zake nani ndo Mume? Acha kuwa mpumbavu, mwanamke akishaolewa hata wazazi wake hawana mamlaka nae ni mali ya mwanaume hiyo.Mkuu nilimruhusu sababu yakusema ameitwa na dadazake but haijulikani nini shida kwakuwa ni familia yake nikamruhu aende ili tujue nini shida huko
Huna namba za shemeji zako? Ni kweli ana dada zake wanaoishi singida? Mwisho, mkeo ni mtu wa kabila gani? Tusijekuwa tunaongea mambo ya ushemeji hapaHapana mkuu huwa naamua lakini hii sikutaka ku doubt coz nikimkataliga safar analalamika na kuona namuonea lakini pia nikwasababu tu kaeleza kuwa kaitwa na hajui nini shida kwa heshima tu za mashemeji nikamuacha aende ili akirud anieleze vizur hicho kilichomfanya akaitwa huko
Hakuna haja ya kuhangaika na upuuzi huo, malaya kama huyo hajui thaman ya kuwekwa ndani piga chiniHii ifanye imeshapita kubali matokeo kuwa ni 3-0 ila nikufundishe kitu, muonja asali huwa haonji mara moja, atarejea tena kukuomba ruhusa kama hiyo wakati mwingine.
NINI UFANYE?
Mruhusu aende kwao wala usioneshe kuwa umestuka au una wasiwasi wowote, akiondoka kama Dar alfajiri basi saa 12 jioni atakuwa kashaingia Singida. Msubiri saa 1 usiku hv ...mpigie simu uongee nae halafu mwambie amkabidhi simu dada yake au ndugu zake waliopo hapo usalimiane nao kwa kupitia simu yake....au wapigie simu shemeji zako uongee nao halafu waambie kuwa wamkabidhi simu ndugu yao maana umemtafuta humpati.Ukiweza kuongea nae utajua kuwa yupo kweli singida kama hujampata jua kuwa hayupo hapo .
Hatutaki ujinga sie wanaume wa jfWanaume wote wa jf wana authority kwa wake zao kasoro huyu mwamba.
Yaani wake zao hawaendi kwao bila mtu wa kwao kumuomba ruhusa mume🤣🤣🤣🤣. Mpo vizuri.
Adai tiketi zote na aulize mashemeji zake inshort mali imeliwaAkirudi afanye haya?;
1. Omba simu yake kwa kushtukiza
2. Apewe tiketi
Vinginevyo akague hilo beseni down akikuta limetepeta baasi
Maneno yenu makali inawezekana jamaa aliamua kujipiga kambaMkuu,wife tayari amerudi...mbona huleti mrejesho...huku tunawasiwasi.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
MmmmmhhhhhhhHapana mkuu huwa naamua lakini hii sikutaka ku doubt coz nikimkataliga safar analalamika na kuona namuonea lakini pia nikwasababu tu kaeleza kuwa kaitwa na hajui nini shida kwa heshima tu za mashemeji nikamuacha aende ili akirud anieleze vizur hicho kilichomfanya akaitwa huko
Wife alilala chalinze, gari iliharibikaMkuu,wife tayari amerudi...mbona huleti mrejesho...huku tunawasiwasi.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Demi mimi na comment wapi maana bado sijaoaWanaume wote wa jf wana authority kwa wake zao kasoro huyu mwamba.
Yaani wake zao hawaendi kwao bila mtu wa kwao kumuomba ruhusa mume[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mpo vizuri.
Wewe ukae tu kwa kutulia ushuhudue watu walivyo wanafiki.Demi mimi na comment wapi maana bado sijaoa
Wala, mwenyewe kwa raha zake anapata morning glory hata kazini hajaenda leo. Ni full shangweMleta mada nahisi kuna jambo limempata.