magombe junior
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,018
- 1,042
Kaenda kuloga na kuliwa,over
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndo ninapogundua kuna shida katika jamii. Wanawake nyuzi zikianzishwa kuwaponda huwa mnajimaliza humu kujitetea au kucomment ili mjisawazishe na kuonekana sawa machoni pa watu. Leo kuna mwanamke amebugi lakini wanawake wako kimya. Penye makosa yenu hamuongei..au mnajipanga kuja na utetezi. Penye makosa mmekaa kimya...
Very absurd
Turudi kwenye mada. Huyu dada ni kweli kuna red flags na mkuu umeshashtuka. Akija utafanya kutokana na utakavyoamua. Ila humu kama una binti, mtoto, ndugu wa kike aliyeolewa embu muwe waelewa. Kuna kitu kinaitwa mamlaka. Mke yuko chini ya mamlaka ya mume. Na Yesu aliagiza utii kama kanisa linavyomtii yeye. Safari ya ghafla kirahisi tu..bila hata kutoa taarifa.
Wewe baba, mama unamuita binti na husemi kwa mume wake. Hii sio heshima. Ukitaka mkwe akupende na wewe heshimu mamlaka kama mume wa bintiyo. Misingi mnaiharibu. Baadae huyu kijana akiwa nongwa kwa binti yako mnaanza kusema. Kumbe hamkumuheshimu mwanzo. We are africans...lets live like african. Wewe mama uko na baba. Ulikua unanyanyuka kiholela kwenda mahali bila kumpa taarifa baba?? Au ndo kisa mna fedha mnakuwa hamjali???
Sad.
Kinachokufanya usilale ni nini?
Hapo ushaambiwa anaumwa vidonda vya tumbo means akifika hakupi mzigo ili usijue kama "IMECHAKATWA",pili kwani huna ndugu zake wa singida ukawapigia kujua kama yupo huko na kuna shida gani?
Kwani nyie makazi yenu ni wapi ilitujue sababu za yeye kulala dodoma kwa kukosa usafiri. ila nawewe ni kinyembe kweli alipokuambia kafika singida kwa dada zake kwanini usinge wasalimia dadazake kama wako naye homeHabar wana JF,
Naimani mko wazima.
Kiukweli nimekuwa na wasiwasi na safari ya wife, sijui kwanini lakini ni safari ambayo siielewi kabsa wakuu. Nina mashaka nayo coz naona mapicha picha tu.
Ni kwamba wife kasafiri juzi ijumaa kuelekea Singida lakini safari yake sielewi elewi kabisa, kwasabubu kwanza ni safari ya kushtukiza lakini pia mpaka now sielewi aim ya safari ni nini mpaka now.
Alhamisi amerudi kutoka kazini usiku tunalala ndiyo ananipa taarifa ya kuwa kesho Ijumaa anasafiri, nikamuuliza unaenda wap? Akaniambia kapigiwa simu na dada zake wamemuita ambao wanakaa Singida. Nikamuuliza kunatatizo akasema hapana, ila sijui wanashida gani na mimi ndiyo wamenipigia simu niende.
Kiukweli nilikuwa nimechoka nahitaji kupumzika, sikutaka ku complicate kitu, nikamjibu sawa nikalala. Then asubuhi nikajiandaa nikaenda kazini vizur. Niko job ananipigia simu kuwa ndiyo anatoka home anaelekea stendi kupanda bus. Iikuwa almost kama saa 7 hivi mchana nikamjibu haya na nikamuuliza kama kunakitu chochote anahtaji akasema hapana yuko powa.
Basi nikakata simu lakini kiukweli ghafla akili yangu ilishikwa na wasiwasi juu ya safari yake but sikutaka ku doubt anything nikapotezea. Baadaya kupita kama lisaa akanitumia message kuwa amepata basi but akifika Dodoma atashuka kuna ndugu yake anamchuka then wanaenda wote.
Daah, sikutaka pia ku doubt wala mambo mengi nikamjibu sawa, nikaachana naye nikaendelea na kazi zangu, but bado sikuona sababu ya yeye kushuka Dodoma. By saa 2 ndiyo ananiambia ndiyo wanaondoka Dodoma nikamjibu sawa safari njema tukaacha hivyo. Basi mi nikarud home usiku kwakuwa nilishapita somewhere nikapata chakula nikafika home niko good, nikaoga nikaingia kwa bed nikampigia ananiambia kashafika ila kachoka na safari nikamuacha nikapumzika.
Sasa leo Jpili tumeongea asubuh vizur tu na tukaagana baadae by saa 7 mchana ananiambia ndiyo anataka kurudi leo. Nikamuuliza mbona hukuniambia asubuhi na kwanini usingeondoka asubuhi? Sijaona cha maana anachonijibu, basi nikamwambia haya kama unarudi leo. Tuakaacha baada ya kama nusu saa ananipigia simu ananiambia kuwa yupo stendi, mara gari sijui hakuna, mara zimejaa, mara nimechoka nasikia usingizi, nikamwambia sasa siungebaki ili uondoke kesho asubuhi akasema sawa tukaacha.
Baadae ananitumia message eti amepata gari ila linaishia Dodoma kwaiyo atashuka Dodoma. Aloo nikasema kimoyomoyo hapo Dodoma hapo siyo bure, coz kwenda kashuka Dodoma kurudi baada arud kesho kama kweli kakosa usafiri na tumekubalina anarudi kesho mapema na sidhani kama kweli alikosa usafiri by that time ananiambia kuwa kapata usafiri.
Ila unaishia Dodoma so ataenda kulala Dom, sikutaka ku complicate nikamjibu sawa basi nikaachana nae. Ila cha ajabu baada ya hapo akawa kimya hakusema kama kafika au laa. Yaani ndo ananitumia text saa hii, saa 5 usiku kuwa alifika salama ila alishindwa kuniambia coz vidonda vya tumbo vilimshika akafikia kupumzika. Heheheh nacheka ila najua mwenyewe wakuu but sijamjibu na sitamjibu lakini namsubiri arudi kesho nikitoka kazini anieleze vizuri kuhusu hii safar yake.
Japokuwa mimi siyo mtu wa kumchunguza mwanamke na sipendi kabisa kuchunguza mtu sababu naelewa what’s gonna happen.
Wakuu kama kuna la kuniongezea karibuni sana, uwanja ni wenu.
Alooo....This stage of love affair is paining so much.
Busara zikuvae sana wakati huu
Kam utaojiana na mkapata sababu ya safari Rudi hapa tafadhari kwajili ya mlejesho lipo la kujifuza.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.. Too much upole wako ndo maana mkeo kakupanda kichwani, sisemi katoka kuliwa ila ukionganisha dots hata kama hujui kusoma ila picha utaiona
Pole sana mkuu, usikuchukue tu maamuzi magumu ya kuua, yakikuzidia mpe red card maisha mengine yaendelee.
Yes mleta hoja haliwezi hiliHii inahitaji akili kubwa
Halafu hakuna watu wanafki kama mashemeji,wanakuwa wanajua nini kinaendelea kwa ndugu yao.Hao dada zake unawajua?
Na uliongea nao hata kwa simu kupata ukweli?
Mzee tatizo ni wewe kwenye hiyo ndoa. Wakwe au mashemeji watamuitaje ndugu yao bila kupitia kwako?
Story yako naiona ni chai na hauko serious. Nikupe tu mfano mmoja jana nime drive Dar to Dom nilitoka saa tano nimefika saa mbili na robo usiku na waliopanda Shabiby walifika saa nne. Mkeo kaondoka saa saba kafika saa mbili usiku ni ngumu. Kama story yako ni kweli haustahili kuwa mume