Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 671
- 1,543
Kheee..!!! Hakuna cha kufanya acha ujingaNimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti.
Je nifanyeje niwa convince π niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona watoto wangu wakiishi wite pamoja na Baba yao, wacheze pamoja na wale pamoja.
Niwafundishe maadili mema na dini za mizimu ya kwetu. Tatizo mama zao kila mmoja ana kabila lake na ustaarabu tofauti wa maisha na kwetu.
Naombeni msaada tafadhali
Karne ya sasa itakua ngumu hiyo hakuna mwanamke anayependa asikie una mwanamke mwingine.Nimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti.
Je nifanyeje niwa convince [emoji39] niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona watoto wangu wakiishi wite pamoja na Baba yao, wacheze pamoja na wale pamoja.
Niwafundishe maadili mema na dini za mizimu ya kwetu. Tatizo mama zao kila mmoja ana kabila lake na ustaarabu tofauti wa maisha na kwetu.
Naombeni msaada tafadhali
Mkuu utaweza kuwatimizia mahitaji yao ya kimwili na kihali?Nimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti.
Je nifanyeje niwa convince π niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona watoto wangu wakiishi wite pamoja na Baba yao, wacheze pamoja na wale pamoja.
Niwafundishe maadili mema na dini za mizimu ya kwetu. Tatizo mama zao kila mmoja ana kabila lake na ustaarabu tofauti wa maisha na kwetu.
Naombeni msaada tafadhali
Hata tajiri Bakhresa asingeweza kuishi nao woteNimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti.
Je nifanyeje niwa convince π niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona watoto wangu wakiishi wite pamoja na Baba yao, wacheze pamoja na wale pamoja.
Niwafundishe maadili mema na dini za mizimu ya kwetu. Tatizo mama zao kila mmoja ana kabila lake na ustaarabu tofauti wa maisha na kwetu.
Naombeni msaada tafadhali
Wafia michepuko waje wampumbaze huyu Jamaa [emoji1]Hata tajiri Bakhresa asingeweza kuishi nao wote
Ushauri wangu tafuta pesa za kutosha.Nimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti.