Nina watoto sita, kila mtoto na mama yake, sitaki mama zao wawe "single mothers", nawezaje kuishi nao wote?

Ebuh ngoja kwanza so wanawake wote 6 hamna aliyeolewa ????
 
Kuna watu mnagawa dozi mkuu endelea kutekeleza maagizo
Mkaujaze ulimwengu
 
Tafuta eneo kubwa Jenga apartments Saba na nyumba zipeane space ya kutosha kiasi kwamba wasishee baadhi ya vitu na hivyo vijumba Saba viwe vinajitosheleza kila kitu ndani yaani choo vyumba viwili na sebule. Wagawie kila mtu chake na ustaarabu wake hala wewe unachukua hicho Cha Saba na usioneshe upendeleo kwa yoyote Kati yao Wala watoto ....vyakula Kama mchele nunua nunua kwa viroba Kama debe moja kila mtu debe, Kama mafuta galon la Lita tano Basi wote hivyo hivyo hapo utawafaidi na kufanya wachungane
 
Kamuulize dokta mwaka
 
Nilichoelewa unataka kuishi na wanao, sio mama zao…. uongo?
 
Asante
 
Hukujiandaa kuwa karibu nao.

Hutaweza kuwa karibu nao.

Kama hukuwahi kuwa mwajikaji kwa hao wote, ni vigumu kumpata hata mmoja.

Kwa kifupi HAIWEZEKANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…