Nina wazo la biashara japo la naliuza

Hiv kwasababu gani watu wengi hupenda kuwakashifu watu straigjt namna hii mkuu?
Sina uhakika na anachokizungumzia dr namugari lakin why all of a sudden call someone tapel?
Wewe huoni ni Biashara kichaa? Yeye Biashara yake ni kuuza wazo la Biashara. Imagine unatoa laki 2 alafu anakwambia fungua pharmacy Kahama kuna hela,utamfanya nini?
 
Kweli mawazo sahihi ya biashara sio rahisi kuyapatapata😅
 
Wewe huoni ni Biashara kichaa? Yeye Biashara yake ni kuuza wazo la Biashara. Imagine unatoa laki 2 alafu anakwambia fungua pharmacy Kahama kuna hela,utamfanya nini?
Nimesema tangu mwanzo kwenye comment huu ni utapeli huwezi kumuuzia mtu wazo la biashara bongo hii ila unaweza kutoa wazo Bure akiamza biashara na akafanikiwa ndo unaweza kuomba kupewa Asante.
 
Mi natoa laki mbili liandike hapa kwa ajili ya wadau binafsi sitaki kujua idea yako sema nataka kufanya kama kurejesha kwa watu.
Huo ujinga sifanyi lbda unipe milion 10 niliaachie

Wazo natoa kwa mtummoja mmoja tu Kama hawataki waendelee kufungua vibanda vya chips tu ili siku moja waje kumiliki gari
 
Mi natoa laki mbili liandike hapa kwa ajili ya wadau binafsi sitaki kujua idea yako sema nataka kufanya kama kurejesha kwa watu.
Huo ujinga sifanyi lbda unipe milion 10 niliaachie

Wazo natoa kwa mtummoja mmoja tu Kama hawataki waendelee kufungua vibanda vya chips tu ili siku moja waje kumiliki
 
Yaani
Nimesema tangu mwanzo kwenye comment huu ni utapeli huwezi kumuuzia mtu wazo la biashara bongo hii ila unaweza kutoa wazo Bure akiamza biashara na akafanikiwa ndo unaweza kuomba kupewa Asante.
Huo ujinga sifanyi katu yaani nikupe idea yangu nilitumia muda kuresearch alfu nikupe kirahisi never on the Earth nimetoa pesa nikapata pesa hakn aaliyenipa bure nimelinunua na .mm nauza kama hutaji basi nenda kauuze chipsi zege walio serious wakipita hatua kubwa
 
Io Biashara unafanya mkoa wowote au Ni mikoa specific
Nitakuchagulia maeneo ya kufaya ili angalau Hadi mwak huu unaisha umepiga pesa za kutosha na kama utataka unaweza kuongeza dhamani hizo item na kuuza kimoja Hadi 380 Hadi laki tano ninwewe mwenyewe uatavyo taka uendeshe biashRa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…